NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Mkuu umeamua jambo jema na Mwenyezi Mungu akubariki sana, usije muacha Bwana Yesu hata ukamilifu wa dahari,, ukianguka simama tena, nakuombea sana kwa uamuzi wako huo kama unamaanisha mkuu
Mwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yangu.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.

Amen
Karibu chamani.
Ni raha tupu!
Mkuu umeamua jambo jema na Mwenyezi Mungu akubariki sana, usije muacha Bwana Yesu hata ukamilifu wa dahari,, ukianguka simama tena, nakuombea sana kwa uamuzi wako huo kama unamaanisha mkuu
Siri gani hizo...Karibu sana katika Jeshi la Yesu. Kumbuka wewe sasa ni wakili wa siri za mbinguni, uwe mwangalifu kutenda sawasawa na iwapasavyo watakatifu. B blessed
Lakini kufa kuko pale pale mzee, na safarii hii hakuna kukoswa koswa !
Huyo wa mwanzo hakuwa Mungu !........wa Kweli hakosi !