raamar
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 252
- 23
Umefanya la maana mkuu! Kumpa Yesu maisha akusimamie ni jambo la msingi kuliko mambo mengine yote. BWANA YESU ASIFIWE....
kampe na hela hyo bwana Jesus
Umefanya la maana mkuu! Kumpa Yesu maisha akusimamie ni jambo la msingi kuliko mambo mengine yote. BWANA YESU ASIFIWE....
natamani kujua sababu za kutaka kuuwawa ujambazism au?
any way its long story.. natumia simu ndogo siwezi kuandika vitu vingi... lakini ni visasi vya muda mrefu vya watu niliotoa siri zao..
Umechagua fungu lililo jema cha muhimu omba neema ya kusimama kwenye huo wokovu maana ukianguka utakuwa mwovu zaidi ya ulivyokuwa mara ya kwanza
Pia jitahidi kuwa sehemu wanayomuhubiri kristo wa kweli na sio hao wasaka tonge wanaojiita manabii!
Mwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yangu.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.
kweli kabisa akianza kutanga mara nabii miss chagga mara sijui gwajama , mara sijui upako kama ni wa kike watamfanya mapenzi
Pelekea Waumini Wenzio Jukwaa La Dini, Huku Mtombano Ndo Tunaelewana!...Umentoa Kwenye Mud Na Kujichoresha Kwako!
Mwe Maisha haya !
Hivi we mwanamke una matatizo gani ?kwahiyo atageuka kuwa kitoweo chao?
Uzuri jf hatufahamiani!stress zimeisha ndugu tangu jana... maana hakuna hukumu ya dhambi kwa hao waaminio karibu na wewe.
siyo ikibidi...walio okoka hawana mambo ya nyuma ya pazia...wako wazi!!badili ID na uweke picha yako...nitafanya ikibidi