Jamani nimeamua kuokoka

Jamani nimeamua kuokoka

Mwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yangu.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.
HAKIKA YESU NI MUNGU MKUU

Welcome to Winners Team Jesus.
 
Kivipi..???

JE, UNATAKA KUOKOKA SASA?

Tunasoma haya katika LUKA 1:77, "Uwajulishe watu wake wokovu, katika kusamehewa dhambi zao". Hii ina maana kwamba ukiisha kutubu dhambi zako leo utasamehewa kwa hakika, na hivyo kupata wokovu mara moja. Je, kweli utasamehewa? Jibu ni Ndiyo! Yesu mwenyewe anasema katika YOHANA 6:37, "……….Wala yeyote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe". Hivyo kwa dhahiri, leo hii, dakika hii hii, utasamehewa na kupata wokovu. Je, uko tayari kuokoka sasa na kuhesabiwa miongoni mwa wale watakaoingia mbinguni na kuishi na Mungu milele, hata wakiiaga dunia sasa hivi? Ukiwa tayari kuifuatisha sala ifuatayo ya toba, mara tu baada ya sala hii, nitakuombea na kwa ghafla utawezeshwa kushinda dhambi.

Je, uko tayari kuifuatisha sala hii sasa?
Najua uko tayari. Basi sema maneno haya,

"Mungu Baba, natubu dhambi zangu zote kwa kumaanisha kuziacha. Naomba unisamehe na kuniosha dhambi zangu kwa damu ya Yesu iliyomwagika msalabani. Niwezeshe kushinda dhambi kuanzia sasa. Liandike sasa jina langu katika kitabu cha uzima mbinguni. Asante kwa kuniokoa, katika Jina la Yesu, Amen".

Sasa ninaomba kwa ajili yako, "Mungu Baba msamehe kiumbe wako huyu dhambi zake zote, na mpe uwezo wa kushinda dhambi kuanzia sasa na kumuokoa. Mbariki kwa baraka zote katika Jina la Yesu, Amen". Tayari umeokoka. Ili uzidi kuukulia wokovu, hakikisha unahudhuria mafundisho katika Kanisa linalohubiri wokovu.

MUNGU AKUBARIKI!!!
 
Wakati wako ukifika utazijua tu, ila kwa sasa inakupasa kuokoka tu. Yesu alikuja kutafta na kuokoa kilichopotea(wanadamu). Naomba yesu akutane na wewe kama alivyokutana na sauli..(paulo).

Wakati gani...??? Unakuja lini...?
 

JE, UNATAKA KUOKOKA SASA?

Tunasoma haya katika LUKA 1:77, “Uwajulishe watu wake wokovu, katika kusamehewa dhambi zao”. Hii ina maana kwamba ukiisha kutubu dhambi zako leo utasamehewa kwa hakika, na hivyo kupata wokovu mara moja. Je, kweli utasamehewa? Jibu ni Ndiyo! Yesu mwenyewe anasema katika YOHANA 6:37, “……….Wala yeyote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe”. Hivyo kwa dhahiri, leo hii, dakika hii hii, utasamehewa na kupata wokovu. Je, uko tayari kuokoka sasa na kuhesabiwa miongoni mwa wale watakaoingia mbinguni na kuishi na Mungu milele, hata wakiiaga dunia sasa hivi? Ukiwa tayari kuifuatisha sala ifuatayo ya toba, mara tu baada ya sala hii, nitakuombea na kwa ghafla utawezeshwa kushinda dhambi.

Je, uko tayari kuifuatisha sala hii sasa?
Najua uko tayari. Basi sema maneno haya,

“Mungu Baba, natubu dhambi zangu zote kwa kumaanisha kuziacha. Naomba unisamehe na kuniosha dhambi zangu kwa damu ya Yesu iliyomwagika msalabani. Niwezeshe kushinda dhambi kuanzia sasa. Liandike sasa jina langu katika kitabu cha uzima mbinguni. Asante kwa kuniokoa, katika Jina la Yesu, Amen”.

Sasa ninaomba kwa ajili yako, “Mungu Baba msamehe kiumbe wako huyu dhambi zake zote, na mpe uwezo wa kushinda dhambi kuanzia sasa na kumuokoa. Mbariki kwa baraka zote katika Jina la Yesu, Amen”. Tayari umeokoka. Ili uzidi kuukulia wokovu, hakikisha unahudhuria mafundisho katika Kanisa linalohubiri wokovu.

MUNGU AKUBARIKI!!!

Mkuu umevunja mbavu....Daah..Yani hivyo ndo kuukoka...
 
Hakuna kitu kama hicho ndugu yangu,huko ni kujidanganya na kuwadanganya watu.Huwezi kuwa duniani ukadai umeokoka, suburi siku ya hukumu ndio utajuwa kama umeokoka au umeangamia.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Akisubiri siku ya hukumu mkuu nadhani atakua amechelewa. Nafikiri mtoa mada amemaanisha kua ameanza kuishi maisha ya kumtegemea Yesu ktk kila jambo ikiwa ni pamoja na kuanza mahusiano binafsi na Mungu ili ambadilishe siku hadi siku na mwisho kuufikia ukamilifu
 
Akisubiri siku ya hukumu mkuu nadhani atakua amechelewa. Nafikiri mtoa mada amemaanisha kua ameanza kuishi maisha ya kumtegemea Yesu ktk kila jambo ikiwa ni pamoja na kuanza mahusiano binafsi na Mungu ili ambadilishe siku hadi siku na mwisho kuufikia ukamilifu
Kwahiyo ndo ameokoka...
 
Hongera sana. Shika sana ulichonacho asije mtu akakupokonya
 
ujinga mtupu, we kafiri mjusi huwezi kuokoka duniani.
 
Mwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yangu.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.

Hata mimi nakuomba ubadilishe hiyo ID yako tafadhali. Sidhani kama ipo kiwokovu namna hiyo. Bali imekaa kihuni na kibatili sana. Lakini kwingineko nikupongeze tu na karibu sana kwa bwana yesu , tupo pamoja. Ubarikiwe sana
 

You are now a confirmed serial liar - and you know it, in the same token, you simply do not have the proof to claim without a doubt that your god actually exists.
Ishmael Jesus in the House.jpg .......wa kwako yupo, na hata picha mnayo imewekwa sebuleni !
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom