cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
katolewa mahari ana utoto gani?? Hata mpini anaujua ladhaye. Hana utoto wowote, ila ndio hivyo tunamuelekeza!inaonekana gilesi bado ni mtoto
katolewa mahari ana utoto gani?? Hata mpini anaujua ladhaye. Hana utoto wowote, ila ndio hivyo tunamuelekeza!inaonekana gilesi bado ni mtoto
Dah, hilo litakuwa limume -----... unalitukana unatimka zako
Kizaizai na Tuko mmenivunja mbavu zangu leo..Hilo sio limume litakuwa ni Jimume
tunataka kufahamu zaid , hakufai kivipi? tabia mbaya au mbaya wa sura?
acha kuharibu kabisa jaman .....Unamchiti makusudi ili akupige chini...