Jamani nakufa mwenzenu kwa stress

Jamani nakufa mwenzenu kwa stress

Mpaka umepokea Mahari hakujua Kama anakufaa au hakufai?weka wazi matatizo yake tukushauri
 
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari ameshakulipia?

ulikuwa wapi kuligundua hlo mpaka unalipiwa mahali nyambafu we umepata hawala jingine huko labda linavihela sasa nyie kwa tamaa ndo kabsa hata knyume na maumbile unampa ksa ngawila,kwenda huko kwa mumeo ulshalala nae mara ngapi si mara nyng hyo mahal wakat anatoa ww hukuwepo ulsafri mkoa mwngne acha ujinga nenda kwa mumeo.
 
Ingawa kutenda kosa ni kosa (kwenye hii issue yako kwa kumkubali mtu mpaka akatoa posa) ila kuendelea na kosa kwa kuolewa na mtu usiyempenda ni mbaya zaidi, badala ya kuendelea kukaa nae na kumfanyia visa bora kuachana nae sasa (mwambie tu hutaki tena ndoa wala kuolewa)
 
Atakuwa ndi yule ambaye hajui kukiss
 
Dont run away from it. Dont burry it. Dont try to produce a different reality getting all strung out on something, or eating your way through your feelings. just deal with it - sababu itakuandama hadi mwisho kama utaishi. The problem isnt that you have someone ambae ametoa mahari na humpendi, tatizo ni jinsi ambavyo maisha yako hayaheshimiwi, na matakwa yako (including your feelings and wishes) nobody cares.

Its painful but you just have to keep fighting! Its just part of life - leo ni haya ya ndoa usiyoitaka,kesho ni boss wako anakutaka na wewe hutaki, next time ni mwalimu wako anakutaka ili akupe marks - You just have to fight!
*Weka msimamo wako wewe mwenyewe ueleweke - usipitie kwa mtu (wala usiwe na mtu anaekusemea)
*Wewe ndie utakaeishi na mwanaume - so wewe ndie mwenye uamuzi wa mwisho juu ya maisha yako.
*Mara nyingi inawatokea watu wenye umri wa chini 20's ambao hawana career na ambao wanaambiwa anaetaka ngono ana pesa. Usikubali kutolewa kafara ukauza uhai wako. Simama pigana. Kumbuka hakuna vita rahisi. Simama pigana!
 
mbona rahisi sana unawatangazia wazazi humtaki tena huyu mwanaume kwani anakuombaga 0713...... hahahah ushammaliza

ukiambiwa na familia we mpe tu hata hapa kwetu ndo ilivyo hiyo,,utafanyaje?
 
anakukuta chooni na bestman unamchit tena,,,siku ya send off hivi

Anakuomba msali pamoja kumkemea shetani anayewafuatafuata, anakwambia kilakitu kipo tayari na harusi itakuwa saa 9 Jioni kanisa la Jirani na nyumbani kwao. Anakukumbatia anasema anafuraha sana kupata mke mwema.
 
Akikusamehe leo kesho yake unamchiti tena... na umpendae lakini

Ndio anasikitika kidogo anakusamehe anazidi kukupenda anakwambia kilakitu kimeshakamilika, amesha tuma nauli kwa ndugu zake na wako waje kwenye harusi yenu.
 
Ndio anasikitika kidogo anakusamehe anazidi kukupenda anakwambia kilakitu kimeshakamilika, amesha tuma nauli kwa ndugu zake na wako waje kwenye harusi yenu.

Dah, hilo litakuwa limume -----... unalitukana unatimka zako
 
Yaani namshukuru babangu Mtambuzi kwa kunipa mtaji wa elimu. Hapo tafuta scholarship ya cambodia ukasome. Kabla haujamaliza shule tafuta kazi haiti. Kwisha kazi, ukirudi kaoa.
 
Last edited by a moderator:
[FONT=century
gothic]
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika
relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari
ameshakulipia?
[/FONT]

usiruhusu hiyo hali, huyo ni shetani anataka kuvulugia, mara nyingi hii hali huwa inawakuta watu wengi. umeshaanza process anakuja yule ulikuwa unamtaka, unafanya kosa tu kumwacha unajutia. maana wale huwa wanakuwaga material hubby. haya ni majaribu.
 
Uwiiiiiiiiiii! Huko kutokufaa hakurekebishiki? Kama una uhakika wa asilimia mia kuwa marekebisho hayawezekani bora kuliweka wazi wazee warudishe mahari. Ndoa sio ya kujaribia!

Hujambo msiri wangu mwaJ?
 
Last edited by a moderator:
halafu giLESi unajikutakje kwenye 'relationship' na mtu ambaye hakufai in the first place hadi akuakulipie mahari? na hakufai? mwambie hutaki! EBO?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom