Ni kutangulia mbele ya haki! Mana utakuwa ushamaliza kazi yako duniani!!
kaka umetumiwa mpk picha unataka kuona nn tena kisicho riziki hakiliki mkuu acha kulazimisha maji kupanda mlima
Ni kutangulia mbele ya haki! Mana utakuwa ushamaliza kazi yako duniani!!
Thubutu!! hata huo muda wa kuanzisha thread usingeupata.
Uwiii ndio maana watu8 habanduki kwenye hili jisredi kama kawekwa gundi!
Mvumilie tu, kiapo si kilikuwa mpaka kifo kiwatenganishe?Mke wa ndoa. Tena kanisani kabisa
Na siku hizi madereva wa bodaboda ndio hatari zaidi.tena huyo wa kwako ana nafuu anatafunwa na huyo profesale wake zetu wengi ni hovyo tena wanagegedwa hovyo na watu wa hovyo madereva taxi mafundi ujenzi amini mostly, wana wanaume 5~7 amin what am talking
hebu nipe update kwanza!!Naona ulilalia hapahapa!!halafu wewe...
kwahiyo asubiri wife amletee ukimwi na huku akiendelea kumfinance chuo na huku mwanaume akiendelea kumla...Wakati mwingine ni bora ujikalie tu huku ukifanya shughuli zako za maendeleo. Hiyo biashara ya kupekuapekua ili uione miguu ya nyoka haina faida kwako muzee!