julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
usiende! ulikosea kumuoa, kupeleleza nyendo zake baada ya ndoa na sasa unataka kukosea kwenda kumfumania!
Ahhahaha kuna jamaa alileta post hapa eti anaoa mwezi ujao mi nkamwambia anakimbilia msalaba wa chuma afu una moto...akawa anabisha ahahahha ngoja nimpelekee hii link..Nataka nipate uhakika tu. Koz huu sasa mwaka wa pili toka tumefunga ndoa...ni makelele mwanzo mwisho
Ndio, sasa kwa mtu kama Mmasai ni kesi rahisi, kwa sababu wao hutembea wamefunga vitu vyenye ncha kali kiunoni muda wote, kwa hiyo atasema nilipomfuma jamaa anamuwowa mke wangu hapo hapo nikamshambulia adui bila ya kufikiria mara mbili. Lakini kama wewe una ustaarabu wa kufunga tai na handkerchief mkononi hakimu anaweza kukuuliza ulipata wapi kitu chenye ncha kali siku hiyo? Kama ni siku hiyo hiyo ndio uliamua kubeba silaha za jadi wakati si jadi yako ina maana ulipanga kwenda kuua, defense hakuna.Mkuu kitu chenye ncha kali tena,,,,
Nimecheka saaana
Right, ndo maana nilimwambia awe gado, yani kama ni hivyo vitu vyenye ncha kali lazima awe amejiandaa navyo kabisa.yah hicho kitu kipo, ila uwe umefanya palepale ulipowafumania kwa kuwa hali anayokuwa nayo mtu akimfumania mke ni tofauti sana, ila ukifanya nje ya pale hapo huna defence. Hvo inakuwa kama vile lile kosa la kuua amelifanya mtu ambaye amechanganyikiwa, amekuwa chizi.
..hahahahaaaa.... jamaa anataka ugonjwa wa moyo.... anataka kusikia mkewe akihemka live......aende tuu...Umeshatumiwa picha na the so called MASHUSHU wako..
What else do you wnt to know!!!!!!!!!!!!!!!
Muda mzuri wa kufumania ni saa ngapi?..na siku gani ya week?
Wadau..kwa muda sasa hatuelewani na mke wangu wa ndoa. Kila nikiwasiliana nae...anakua kama hapendi hivi. So nikaamua kuweka mashushu wamfuatilie kwani chuo anachosoma mimi pia niliwahi kusomea huko...so ninafahamu mazingira ya huko. Mrejesho wa taarifa za mashushu hao. .kila mmoja kwa wakati wake. ..wakanitumia picha na kunihakikishia kua mke wangu anagegedwa na mhadhiri wa chuo hicho. Na sometimes huyo mhadhiri hua anaenda kulala nae kwenye chumba nilichompangishia.
Nataka nikawafumanie....nipate uhakika zaidi.
Maoni na ushauri tafadhali
masihara mengine yanachefua ..! Mungu amemfunilia uchafu wa mkewe mapema ili asepe! Aende ahakikishe ili kuwa na ushahidi tu !just let sleeping dogs lie. We tulia, usilolijua haliumizi kama live. Utashikwa na usongo wa moyo bure umwache akila raha na mpenzi mpya. Digirii hupatikana kwa njia nyingi. Hii pia ni mojawapo. Akimaliza salama atakuinua kiuchumi. Sema mama watoto yupo chooni tu hao waliokutumia pics ni makuwadi wako au? Una uhakika gani kama hao nao ni wezi tuuu
kwa hiyo umeshamfumania au bado wanagegedanaWadau..kwa muda sasa hatuelewani na mke wangu wa ndoa. Kila nikiwasiliana nae...anakua kama hapendi hivi. So nikaamua kuweka mashushu wamfuatilie kwani chuo anachosoma mimi pia niliwahi kusomea huko...so ninafahamu mazingira ya huko. Mrejesho wa taarifa za mashushu hao. .kila mmoja kwa wakati wake. ..wakanitumia picha na kunihakikishia kua mke wangu anagegedwa na mhadhiri wa chuo hicho. Na sometimes huyo mhadhiri hua anaenda kulala nae kwenye chumba nilichompangishia.
Nataka nikawafumanie....nipate uhakika zaidi.
Maoni na ushauri tafadhali