WAKABAMBEE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 605
- 275
mbaya zaidi ukutew anawezeshwa biasara wakati hat siku moja hujafikiria sijui utalia au utatoka jasho tuu , kazi kwako kama huna nauli njoo uchukue kwangu
Are u sure u want to face the reality!!!!!!!!!!!
Yes am sure. Koz tayari nimemchoka. Hatuna amani zaidi ya mwaka na nusu sasa. Ni makelele tu
Mke wa ndoa. Tena kanisani kabisa
Ukienda huko usisite kurejea hapa na kutupa mrejesho...kwa msisitizo utupiemo na picha mbili tatu...
Wadau..kwa muda sasa hatuelewani na mke wangu wa ndoa. Kila nikiwasiliana nae...anakua kama hapendi hivi. So nikaamua kuweka mashushu wamfuatilie kwani chuo anachosoma mimi pia niliwahi kusomea huko...so ninafahamu mazingira ya huko. Mrejesho wa taarifa za mashushu hao. .kila mmoja kwa wakati wake. ..wakanitumia picha na kunihakikishia kua mke wangu anagegedwa na mhadhiri wa chuo hicho. Na sometimes huyo mhadhiri hua anaenda kulala nae kwenye chumba nilichompangishia.
Nataka nikawafumanie....nipate uhakika zaidi.
Maoni na ushauri tafadhali
Sasa wadanganyika na kilio na kamasi kha we vp?we hujui hizo silaha madhubuti za mwanamke!!
Ni kweli nenda ndg yangu kamuumbue na zaidi huyo Mhadhiri mpige picha au ita watu na upeleke malalamiko hayo ofisini kwake maana watu wanazidi, ukute hata mke wa huyo mhadhiri kwake ni shida tupu, nenda na waandishi wa habari kabisa wa uhakika na reporters wa radio ili hao waache kabisa tabia ya uzinzi!Wadau..kwa muda sasa hatuelewani na mke wangu wa ndoa. Kila nikiwasiliana nae...anakua kama hapendi hivi. So nikaamua kuweka mashushu wamfuatilie kwani chuo anachosoma mimi pia niliwahi kusomea huko...so ninafahamu mazingira ya huko. Mrejesho wa taarifa za mashushu hao. .kila mmoja kwa wakati wake. ..wakanitumia picha na kunihakikishia kua mke wangu anagegedwa na mhadhiri wa chuo hicho. Na sometimes huyo mhadhiri hua anaenda kulala nae kwenye chumba nilichompangishia.
Nataka nikawafumanie....nipate uhakika zaidi.
Maoni na ushauri tafadhali
Swali zuri, deep down in his heart he knows nn cha kufanya
Hivi wewe huwa unalala saa ngapi?
Common Law ya Mwingereza, ambayo tuliirithi, inasema ukimkuta mke wako live, kwa mfano, anabanwa mbavu na mtu, ukampiga jamaa au mkeo na kitu chenye ncha kali akafa, unayo "heat of passion defense" mahakamani.
Sasa, sina hakika kama bado tunacho hiki kipengele, fanya homework hapo kidogo halafu nenda ukiwa gado.