Jamani naenda kufumania

Jamani naenda kufumania

Kama ndoa haikua na amani kwa kipindi chote hicho basi kama umeipata nafasi ya kufumania,mshukuru,mungu. Mwisho wa ubaya ni aibu. We fumania tu ili ukimuacha ajue sababu za kuachwa.
 
Halafu unaweza ukabaki umetumbua macho jinsi mwenzio alivyokunjwa... wakati mwenye mali unajifanyaga una heshimaaaa... wenzio wanapiga haswaa mpaka anakusahau

hahaaa bora ukae utu;ie home tu

btw mbona umekuwa adimu machoni kwangu
 
Wadau..kwa muda sasa
hatuelewani na mke wangu wa ndoa. Kila nikiwasiliana nae...anakua kama
hapendi hivi. So nikaamua kuweka mashushu wamfuatilie kwani chuo
anachosoma mimi pia niliwahi kusomea huko...so ninafahamu mazingira ya
huko. Mrejesho wa taarifa za mashushu hao. .kila mmoja kwa wakati wake.
..wakanitumia picha na kunihakikishia kua mke wangu anagegedwa na
mhadhiri wa chuo hicho. Na sometimes huyo mhadhiri hua anaenda kulala
nae kwenye chumba nilichompangishia.


Nataka nikawafumanie....nipate uhakika zaidi.

Maoni na ushauri tafadhali

usisahau tindikal...ilo fumaniz halitosahaulika maisha!
 
Dawa ya wanawake akiwa chuo ni kumuweka busy na Mimba degree ya miaka mitatu...Mimba mbili ...Hiyo Ndio ant kupigiwa ....akiingia Mimba ..mwaka wa mwishoo Mimba ...
 
Ndg unaMOYO wakuhimili kumuona MKEO akiwa amekunjwa km KAMBALE kisha anatumbukizwa NYOKA tartiiibuu kisha unackia sauti yake akifurahia hiyo kitu! Achana nahiyo mambo ndg utakuja ufe kwa Pressure! Chakufanya mwambie wyf wako kuwa unajua michakato yake so akwambie 7bu yakutafunwa na laPROFESERI ukilidhika na 7bu zake songesha lyf km hajakushawishi mwaganeni hapo hapo! Chamuhimu tambua wanawake kwenye mapenzi % kubwa wanamaanisha akishakutoa MOYONI hata ufanyeje anakuona Bwege2! kila la heri kamanda!

Asilimia kubwa ya wanaanawake wakiwa nje hey justify kwa wapenzii wao..kwa kuwaponda waume....utasikia " Jamaa mzembe,mlevi,analala"
 
mara ya mwisho umepima Blood Pressure lini?you may die by just thinking, before you even reach the stage.
 
Mwaka 2008 Kuna jamaa alienda kufumania demu wake pale ifm,ndo kapanga safu nzima,akaambiwa demu analiwa hostel ghorofa ya3,jamaa akapanda block c,kufika room akakuta watu wako half time,akalianzisha. Demu kuulizwa akamkana,akha simjui,mademu wakamzunguka!wakamhoji ww ni nan kwa uyu dada?jamaa eti mchumba wake,wakahoji una wachumba wawil maana ww tunakujua umeoa,jamaa akakosa majibu. Wakasema ok,jina la baba wa uyu dada anaitwa nani?jamaa hajui. Wakwambia je unaweza kumpigia cmu tujue kwel ni demu wako?akapiga ,cm unayopiga haipo,..dah kumbe demu keshavuruga namba. Si wanachuo wakapiga kelele!mwiz mwiz,c majamaa yakampandia na mawe ghorofan! Kufika chini kashaumizwa vibaya!polisi kufika wakakuta ni bosi flan pale city centre,kumkimbiza muhimbili kakata kamba. Jamaa alikufa kifo cha kijinga,mpaka mke wake anafika ilikuwa kama cinema! Fumania kwa malengo ndugu!
 
mara ya mwisho umepima Blood Pressure lini?you may die by just thinking, before you even reach the stage.
 
We kafumanie bwana...tena ikibidi nenda na mabaunsa mkawaachie kisago...halafu kama vip achana na huyo mkeo kimeo...kama vip huyo prof mmpige picha kabisa ukimkuta na mkeo na mwambie akiendelea unaziachia mtandaoni ili aaache hiyo tabia...asiekua na wivu na mkewe ni Duyuth
 
Dawa ya wanawake akiwa chuo ni kumuweka busy na Mimba degree ya miaka mitatu...Mimba mbili ...Hiyo Ndio ant kupigiwa ....akiingia Mimba ..mwaka wa mwishoo Mimba ...

Ndg yangu hata hilo cdhani km niDAWA manake kuna vitumbo vingine vinawajiaga na hamu! so Lazima atagegedwa2! Naujue pia kuna wanaume raha yao nikutafuna wanawake wenye vitumbo! Kiukweli Jamaa anaumia sn acheni utani MKE anauma! Ikiwa una MKE asie na tabia za hovyo km hizo nijambo lakumshukuru MUNGU!
 
mfumaniaje nimesubiri uanzishe thread nyingine asubuhi kilichotokea mbona kimya, tupe majibu ya michango yetu basi.
 
Inaonekana hii wk niyawababa kulia Wanavyotendwa na wake zao! wk hii tumejadili mada mbili Cjackia wamama wakilialia! Au wababa tumekuwa wasakaji NOTI sana! mambo ya ugoni tupa kule!
 
kaka umetumiwa mpk picha unataka kuona nn tena kisicho riziki hakiliki mkuu acha kulazimisha maji kupanda mlima

Kama relationship ni muflisi kwanini ukafumanie? Si muachane kwa usalama? Unajua kufumania inakuwaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom