Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
...mke au mchumba?
Nataka nipate uhakika tu. Koz huu sasa mwaka wa pili toka tumefunga ndoa...ni makelele mwanzo mwisho
u have the answer
...mke au mchumba?
Nataka nipate uhakika tu. Koz huu sasa mwaka wa pili toka tumefunga ndoa...ni makelele mwanzo mwisho
Yes am sure. Koz tayari nimemchoka. Hatuna amani zaidi ya mwaka na nusu sasa. Ni makelele tu
ile signature yako ya mwanzo niliipenda zaidi!!Ukiwafumania walambe wote!!!!
Nataka nipate uhakika tu. Koz huu sasa mwaka wa pili toka tumefunga ndoa...ni makelele mwanzo mwisho
Sasa wadanganyika na kilio na kamasi kha we vp?we hujui hizo silaha madhubuti za mwanamke!!Nataka nione kwa macho. Koz hizo nilishamkutanazo zaidi ya mara 3 na akawa anabisha mpaka analia na kutoa makamasi.
Wadau..kwa muda sasa hatuelewani na mke wangu wa ndoa. Kila nikiwasiliana nae...anakua kama hapendi hivi. So nikaamua kuweka mashushu wamfuatilie kwani chuo anachosoma mimi pia niliwahi kusomea huko...so ninafahamu mazingira ya huko. Mrejesho wa taarifa za mashushu hao. .kila mmoja kwa wakati wake. ..wakanitumia picha na kunihakikishia kua mke wangu anagegedwa na mhadhiri wa chuo hicho. Na sometimes huyo mhadhiri hua anaenda kulala nae kwenye chumba nilichompangishia.
Nataka nikawafumanie....nipate uhakika zaidi.
Maoni na ushauri tafadhali
Mke wa ndoa. Tena kanisani kabisa
ile signature yako ya mwanzo niliipenda zaidi!!
ilibeba ujumbe mzuri...na inafundisha..hii ya sasa kama una mlenga mtu fulani!!why?????
Ukishamfumania what next?