Jamani naenda kufumania

Jamani naenda kufumania

Nipo tayari kumuacha kwa point hizi

1. Uzinzi
2. Makelele
3. Unafki
4. Uchoyo- changu chake...cha kwake cha kwake

5. Uongo
 
Muda mzuri wa kufumania ni saa ngapi?..na siku gani ya week?
We ushajua uzinzi wake muache tu hutanufaika na chochote ukimfumania unataka ujipe donda la roho na maumivu ya ziada,maana itakuwia vigumu sana kwako kuifuta ile taswira utakayoiona huko!!Mpe talaka zake tatu kwishnei!!
 
jamani hz ndoa mbona huko kunatisha akutamaniki. pole.

Usiogope miss chagga. Chukulia kama ajali, watu wanapata ajali kila siku na bado safari zinaendelea. Ajali moja haisababishi magari mengine kuendelea na safari. Karibu kwenye club ya maraha lol!
 
Hahahahaaaa!
Hamnaa! ile nimegundua haijengi pia haileti umoja!
Hata shosti wako (Hvn n E)hakuifurahia! Hahahaaaa!
Labda unidadavulie vizuri udhaifu wa hii bila kufikiria kumlenga mtu!
Mmwee! Unanituhumu bureeee!

ilibeba ujumbe mzuri...na inafundisha..hii ya sasa kama una mlenga mtu fulani!!
 
Mambo mengine ni kujipunguzia siku za kuishi. Unajiongezea stress. Pesa ikupe stress, kazi ikupe stress na mwanamke tena.

Kuwa makini.
 
nenda utupe mrejesho,ila usifanye fujo wewe chukua nguo zao wote kisha ondoka,zipige picha ziweke hapa kama ushahidi kweli umefumania!!!

hahahahaha! Kweli we bongolala! Umenchekesha! Dah!
 
Nipo tayari kumuacha kwa point hizi

1. Uzinzi
2. Makelele
3. Unafki
4. Uchoyo- changu chake...cha kwake cha kwake

5. Uongo

Jamani acheni story mke qa ndoa anaumiza sana ukusikia ndia yak inaenguliwa na njemba yaani ukitaka kufa kwa pressure we nenda ushuhudie live ndoa yako inapoharibiwa na minjemba mi naona bora utumie busara za thati ktk kumwacha kwa sababu tatari mmeshaanza kushindana, pia mashsushu tayari wamekuletea photo cha ziada hapo ni wewe kuzimia, ahirisha zoezi hilo, utaumia milele daima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom