Jamani naenda kufumania

Jamani naenda kufumania

image 2.jpg
 
Nenda kawakamate live ili huyo prof akulipe then piga chini hvyo dem
 
kwahiyo asubiri wife amletee ukimwi na huku akiendelea kumfinance chuo na huku mwanaume akiendelea kumla...
una ushauri wa giza unaniudhi kinyama...au hii dunia ya sasa huioni? %&^%*&(%^*(%(%( sana....

OK, wewe mshauri ama amfungie mkewe ndani asitoke kabisa au aache shughuli anazofanya awe na mke wake saa zote. Hayo mawazo yako "ya mwanga" ni ya kitoto. Ama mtu anamwamini mke/mume wake - which means it doesn't warrant making investigative follow-ups to prove "analiwa au haliwi"- au hamwamini - which means hana sababu ya kuishi nae PERIOD!
 
Wadau..kwa muda sasa hatuelewani na mke wangu wa ndoa. Kila nikiwasiliana nae...anakua kama hapendi hivi. So nikaamua kuweka mashushu wamfuatilie kwani chuo anachosoma mimi pia niliwahi kusomea huko...so ninafahamu mazingira ya huko. Mrejesho wa taarifa za mashushu hao. .kila mmoja kwa wakati wake. ..wakanitumia picha na kunihakikishia kua mke wangu anagegedwa na mhadhiri wa chuo hicho. Na sometimes huyo mhadhiri hua anaenda kulala nae kwenye chumba nilichompangishia.

Nataka nikawafumanie....nipate uhakika zaidi.

Maoni na ushauri tafadhali

Acha mambo ya kuanzisha thread za uwongo. Kwanza hujaoa maana uchungu wa mke huujui, Ingekua ni kweli hata nguvu ya kuanzisha thread usingekua nayo.Zamaani ungeshakodisha bodaboda hata kama ni umbali wa Moshi na musoma ukahakikishe.
 
OK, wewe mshauri ama amfungie mkewe ndani asitoke kabisa au aache shughuli anazofanya awe na mke wake saa zote. Hayo mawazo yako "ya mwanga" ni ya kitoto. Ama mtu anamwamini mke/mume wake - which means it doesn't warrant making investigative follow-ups to prove "analiwa au haliwi"- au hamwamini - which means hana sababu ya kuishi nae PERIOD!
r u straight.....?
 
mwache haraka atakuzeesha maana keshakukinai.penzi halilazimishwi.UAPATA ANAYEKUPENDA NA UAFURAHIA DUNIA.
 
Uwe na stamina za miguu tu, kujizua usianguke ukitaka kuzimia au kikimbia wkt kibao kishakugeukia. Kufumania kunataka moyo.
 
Wadau..kwa muda sasa hatuelewani na mke wangu wa ndoa. Kila nikiwasiliana nae...anakua kama hapendi hivi. So nikaamua kuweka mashushu wamfuatilie kwani chuo anachosoma mimi pia niliwahi kusomea huko...so ninafahamu mazingira ya huko. Mrejesho wa taarifa za mashushu hao. .kila mmoja kwa wakati wake. ..wakanitumia picha na kunihakikishia kua mke wangu anagegedwa na mhadhiri wa chuo hicho. Na sometimes huyo mhadhiri hua anaenda kulala nae kwenye chumba nilichompangishia.

Nataka nikawafumanie....nipate uhakika zaidi.

Maoni na ushauri tafadhali

Muwache mwenzio yuko practice........sasa unafikiri masters zinapatika kirahisi ndugu........muwache binti wa watu afikishe malengo yake.......siku akijakua manager si wote mtafaidi mshahara. Tulia kijana acha papara.
 
Hili unalotaka kufanya la kufumania, "una kifua lakini"? Angalia isije ikakuletea madhara zaidi maana kufumania yataka moyo.

Na inakua mbaya zaidi unayemfumania akimgegeda mke wako unamkuta ana dushelele kubwa kuliko wewe....... na unaliona kwa macho yako kabisaa............
 
Nenda na tindkali au katafute mabaunsa wawatigo wote halaf peleka picha rahatupu then uje unipe taarifa nkazione. dedcation "bado nipo nipo ya mwanafa
 
Pole mkuu wangu but Confucius once said "you cant make a wh0re a housewife!". Bado nipo nipo sana.
 
Common Law ya Mwingereza, ambayo tuliirithi, inasema ukimkuta mke wako live, kwa mfano, anabanwa mbavu na mtu, ukampiga jamaa au mkeo na kitu chenye ncha kali akafa, unayo "heat of passion defense" mahakamani.

Sasa, sina hakika kama bado tunacho hiki kipengele, fanya homework hapo kidogo halafu nenda ukiwa gado.

yah hicho kitu kipo, ila uwe umefanya palepale ulipowafumania kwa kuwa hali anayokuwa nayo mtu akimfumania mke ni tofauti sana, ila ukifanya nje ya pale hapo huna defence. Hvo inakuwa kama vile lile kosa la kuua amelifanya mtu ambaye amechanganyikiwa, amekuwa chizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom