Jamani na huyu naye hamumuzimikii?

Nashangaa kinachomwahisha ni nini au anaenda kunyonyesha mtoto mwache aende watu8
 
Hee mimi sikukujua kabisa kumbe alimwandikia telegram idd amin kweli alimzimikia kabisa
 
brajec,sehemu bomba kwa michemsho,iko opposite na geti la kuingia mlimani city.

Acha uongo wewe. Brajec haiko opposite na geti la kuingia Mlimani city. Iliyopo opposite na geti ni DDC Mlimani. Brajec iko mbele kidogo - kabla hujafika Savei kama unatokea Mlimani city unakata kulia halafu unazama ndani kidogo na yenyewe itakuwa kushoto kwako.
 
Nyani Ngabu umesahau kuwa Bishanga ni mbea?
 
Last edited by a moderator:
Baba nakusalimu! Afu mbona simu ya mama haipatikani? Mwambie vile vitenge nshavituma!

marhaba my little princess...your mom's phone ipo sawa kabisa ila muda unapiga haikuwa na charge TANESCO walikata...hizo habari za vitenge najua atazifurahia kweli...love u daughter!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom