Jamani mwenzenu Napendwa, ila

Jamani mwenzenu Napendwa, ila

Msije mkatuletea senema ya sintah na mange. Leo nimeambiwa kuna sijui mrs mali benzokitugani sijui.
Haya jioni njema.
wewe!
niliwai kukwambia siku moja!kama uwezi utani unawatania watu ya nini!
U ARE SICK!daaaaamn SICK UPSTAIRS!
hili sitaomba samahani kwa yeyote!
 
Msije mkatuletea senema ya sintah na mange. Leo nimeambiwa kuna sijui mrs mali benzokitugani sijui.
Haya jioni njema.

aaaaahahahahaaah kuna sehemu tumekutana ujue leo!my bad!aaahahhaha got yu kiddo!
 
Jamani hii si ni chit chat au ni kweli snowhite? kama sio utani nisiwe na comment mwaya....hata huyu Mentor mie namtania tu kwa uchit chat

si ndo na mi nashangaa alivokurukia!
amenibore kwa kweli!
mi najua we ulikuwa unamaanisa kichit chat!ye anakuattack personally!
umvunjie ndoa yake unamjua!ah!
 
si ndo na mi nashangaa alivokurukia!
amenibore kwa kweli!
mi najua we ulikuwa unamaanisa kichit chat!ye anakuattack personally!
umvunjie ndoa yake unamjua!ah!

Kwanza ya ndoa yanaletwa kupostiwa hapa?si waambiane huko chumbani....kama sio chitchat basi wapeleke chumbani
 
Mungu awasamehe maana hamjui mlitendalo acha niwaache mie sitaki kuongea bure nikamkosea Mungu wakngu jioni hii nishindwe kulala na laaziizi wangu barafu wa moyo wangu Mentor

aaaaaaaaaahhahaaah Mentor huyu huyu ndo mumeo?
unamjua mentor wewe???
alioa lini!???
manake umesema sio chit chat zso ni maisa ya kweli!
na mume ulikuwa unamtafuta juzi ilikuwaje????
aca kufanya watu mapoyoyo!
hizoi ndoa mnazoziota humu kila siku mngekuwa mnazo kweli basi!
nilikuuliza mapema tunachit chat au??ukasema ni real!kwa ureal upi?????????
WATU MNAOTA SANA MAISHA NA HISIA ZISO ZENU!fekerooooooo kwa kwenda mbele!
cc Mrembo by Nature, cacico gfsonwin Mentor na watu8
 
Last edited by a moderator:
Hata hammer au vogue is not enough for my feelings.

I give it for free, nikihongwa ajali kazini.

Kuishi na serial cheater anayeleta ndani unaweza jikuta umekuwa serial killer.

Unaposema tumelionaje hilo inamaanisha lipi! La kuwa serial cheater ama la kukununulia vitz?
Manake kwa serial cheater ili anifurahishe labda tuanzie kwenye fortuner kama sio kanissan patrol!
 
mmmmh leo nimepitwa hii mechi ya Barcelona sijui nilikuwa wapi mie.................................:mmph:😛ray2:kumbe bradha[MENTION]Mentor[/MENTION] kapata jiko.:coffee::coffee:
 
Hahaha. Wee ndo hujui sasa. You serial kill in the name of self defence. Mume biashara mjini atii. Hujamuona da sophy kaja ana idupya anajisidia na mume wa mtu? Kuna mtu kasema 'ule peke yako kwani sumu hiyo'?.

Tushakubaliana cheating (both kwa mke na mume) inaboresha ndoa. Hehehe ndoano hoyeeeeee!
Hata hammer au vogue is not enough for my feelings.

I give it for free, nikihongwa ajali kazini.

Kuishi na serial cheater anayeleta ndani unaweza jikuta umekuwa serial killer.
 
Hahaha. Wee ndo hujui sasa. You serial kill in the name of self defence. Mume biashara mjini atii. Hujamuona da sophy kaja ana idupya anajisidia na mume wa mtu? Kuna mtu kasema 'ule peke yako kwani sumu hiyo'?.

Tushakubaliana cheating (both kwa mke na mume) inaboresha ndoa. Hehehe ndoano hoyeeeeee!
cc K...... L
 
Hapa ntajua wasiolipenda pendo letu...

Hata nimebadili nimepata dili leo nitanunua Subaru i think ntakuachia ile Verossa yangu...haya waache sasa waseme!

kwel kuna uhusiano kati ya gari na binti
 
mmmmh leo nimepitwa hii mechi ya Barcelona sijui nilikuwa wapi mie.................................:mmph:😛ray2:kumbe bradhaMentor kapata jiko.:coffee::coffee:
Nashangaaaa shangaaaaa tu hapa
 
aaaaaaaaaahhahaaah Mentor huyu huyu ndo mumeo?
unamjua mentor wewe???
alioa lini!???
manake umesema sio chit chat zso ni maisa ya kweli!
na mume ulikuwa unamtafuta juzi ilikuwaje????
aca kufanya watu mapoyoyo!
hizoi ndoa mnazoziota humu kila siku mngekuwa mnazo kweli basi!
nilikuuliza mapema tunachit chat au??ukasema ni real!kwa ureal upi?????????
WATU MNAOTA SANA MAISHA NA HISIA ZISO ZENU!fekerooooooo kwa kwenda mbele!
cc Mrembo by Nature, cacico gfsonwin Mentor na watu8

Teh teh teh
 
Back
Top Bottom