Jamani mwenzenu Napendwa, ila

Jamani mwenzenu Napendwa, ila

mtoa hoja sijaelewa substance over form , yani VITZ ndo imefanya usahau ukicheche wake angalia labda ndo anataka alegalise ukicheche afu anakupoza kwa VITZ mwee
 
aaaa don't worry nimekuandalia mabaunsa kama hamsini hivi wanakulinda popote utakapokuwa mmoja wapo ni Yesu😛ray2:😛ray2:😛ray2:

Hhaha alafu huyu si ndo alitoa maoni kwa moderators kwamba kuwe na jukwaa la wanawake?Duhh tungeingia kingi, heri hata haikuruhusiwa kwani lingegeuka jukwaa la kusutana na kuongea habari za kuibiana mabwana
 
Hhaha alafu huyu si ndo alitoa maoni kwa moderators kwamba kuwe na jukwaa la wanawake?Duhh tungeingia kingi, heri hata haikuruhusiwa kwani lingegeuka jukwaa la kusutana na kuongea habari za kuibiana mabwana

wangesutana waliokulia uswahilini sisi wa kule VING'AWE tusingefua dafu.
 
Mmmm!! Hii thread mbona kama "kuandika script" za movie!! Kama vile chit chat tuu!! Anyway, vyovyote vile haisumbui, inaburudisha tu, a story about "two plus" iwe ya kweli au uongo. Kama hadithi za shigongo au chai chungu, hatujuagi uhalisia wake twa-enjoy kusoma tu.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Ha ha ha, I shud serial kill in the name of self defence? Jamani nahurumia mileage kwenda sana.

Hahaha. Wee ndo hujui sasa. You serial kill in the name of self defence. Mume biashara mjini atii. Hujamuona da sophy kaja ana idupya anajisidia na mume wa mtu? Kuna mtu kasema 'ule peke yako kwani sumu hiyo'?.

Tushakubaliana cheating (both kwa mke na mume) inaboresha ndoa. Hehehe ndoano hoyeeeeee!
 
Mie nipo mpendwa, nilikuwa pembeni naangalia tu hili muvi....hahaha!!
Yaani hata sielewi nani steringi na nani jambazi kuu...
Ila nawe stukaaa best yangu lol utatolewa ngeu

Mimi sisemi AMINA hahahaha watu8 upo best
 
Last edited by a moderator:
Mie nipo mpendwa, nilikuwa pembeni naangalia tu hili muvi....hahaha!!
Yaani hata sielewi nani steringi na nani jambazi kuu...
Ila nawe stukaaa best yangu lol utatolewa ngeu

Mie mtoto wa watu ustering niutoe wapi, Niliambiwa nijishushe ili Mungu anikweze kwa wakati wake......TAYARI IGNORED. Hivi na wewe hujapata mke hapa JF bado?muwe mnasema tusijetolewa ngeu kwa kuwasalimia bila kujua kumbe wake zenu hawataki mtajwe.
 
Hehehe eti mke!!...kwangu what happens in JF stays in JF.
Hapa ni kama jumba la BBA, tunapata marafiki and we treat em as real friends.
Mwendhio hapa nina mke na watoto ila ni wastaarabu sio watoa ngeu...

Mie mtoto wa watu ustering niutoe wapi, Niliambiwa nijishushe ili Mungu anikweze kwa wakati wake......TAYARI IGNORED. Hivi na wewe hujapata mke hapa JF bado?muwe mnasema tusijetolewa ngeu kwa kuwasalimia bila kujua kumbe wake zenu hawataki mtajwe.
 
Hehehe eti mke!!...kwangu what happens in JF stays in JF.
Hapa ni kama jumba la BBA, tunapata marafiki and we treat em as real friends.
Mwendhio hapa nina mke na watoto ila ni wastaarabu sio watoa ngeu...

Hahahaha haya bana,untambulishe wifi yangu na wanangu wa jf niwajue bathi
 
Hahah...hiyo maneno ndani ya parandesi imenifanya nicheke tu.
Usijali mpendwa najua utafurahi kukutana nao karibu sana nawe nyumbani kwetu(kwenye server za JF)...

Nimefurahi kuwatambua watoto wako na Mama yao, wasalimie popote walipo.....uwalete kwangu basi wapafahamu (hapa kwa desktop yangu)
 
Hay! waungwana marafiki zangu

Namshukuru Mungu kuniweka hata siku hii ya leo niko mzima buheri
wa afya njema, wengine hatunao leo hii kwanini mm ni nani mpaka
nikawepo, jamani? hiviyo sina budi kumshukuru Mungu hata wewe
rafiki yangu mpenzi wangu huna budi kumshukuru Mungu kila uionapo
leo.

Wapendwa wangu wa moyoni leo tena nimekuja na jambo hili ambalo
nimeonelea niliseme hapa kwenu ili tujadili na kupata ufumbuzi wa kina.
labda nianze kwa kuuliza swali hili hapa: samahani kama mtaboreka
wanaume wa humu mjengoni? ni hivi: hivi ni kwanini ninyi wanaume
mnakuwa vicheche na mnakuwa watu wa ajabu sana kuwatenda wake zenu?
Hamuoni kuwa mnasambaratisha ndoa zenu na kuleta mitafaruku ndani ya
ndoa na mgawanyikano kati ya kizazi na kizazi? Mkipenda kujibu haya kazi kwenu.

Jambo ambalo nimeona niliseme ni hili kwa upande wa wanaume ambao wamekuwa
vicheche hata kwangu imenitokea kwani nimejaziwa wanawake lukuki hata wengine
sijui majina hao hasa nimebaki naumia ndani kwa ndani nimemuomba kaka Erickb52
asaidie jahazi hili linaingia majini kajitahidi kaka wa watu kunisaidia laikini wapi?
nimeona sasa ninyi marafiki zangu mnisaidie kwa huyu mtu kwani bado nampenda
na sitaki kumuacha kwani tuliahidiana mbele ya mashahidi kuwa sisi tu mwili mmoja
na Alichokiunganisha Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha, hivyo naendelea
kuvumilia tu japokuwa ni karaha na mateso ndani ya ndoa lakini bado naendelea kuwepo
tu msije sema kuwa mm ni king'ang'anizi lahasha wala ni ndoa lazima niijenge japokuwa
inayumba sana sasa, ugomvi, manyanyaso yamekuwa mengi, ingawaje ananipenda
naye hawezi nitamkia chochote kuhusu kutalikiana kwani bado ananipenda japokuwa
ananiletea wanawake humu home.

Juzi kati kwenye majira ya jioni tumekaa tunasubiri msosi akaniangalia na kunikodolea macho
kisha akasema mwenyewe kupitia kinywa chake "My love barafu wa moyo wangu
unataka nikufanyie nini ili uone nakupenda japokuwa nimekuwa mtu nisiyemwaminifu? maneno
haya aliyatamka yeye mwenyewe kwani aliona anavyonifanyia na kunipa stress kila wakati
ingawaje nilishamwambia kuhusu tabia yake ya kicheche na kutamanni wanawake wa nje.
Nikamwangalia kwa macho maangavu na yenye mvuto wa mapenzi kisha nikamwambia
niletee au nipe chochote upendacho, mume wangu laaziz wangu Mentor wa maisha

Akaniangalia na kusema kuwa nitakununulia gari aina ya VITZ (sijui kama nimedanganywa hapa)
ila moyoni nilijawa na furaha na nilifurahia nikamrukia na kumpa kiss la agape, kwa furaha niliyonayo
japokuwa ..............bado ANANIPENDA jamani mpaka nikasahau machungu, manyanyaso yote hapa
nilipo nasubiri huo muujiza utendeke nipate kufurahi na kuwa mwenye kicheko ndani ya ndoa yangu
waungwana je mmelionaje hili?

Nawatakia siku njema na kazi njema
c.c Zahra White
 
Last edited by a moderator:
katika mapenzi kuna milima na mabonde..hongera kwa kua mvumilivu. Mentor na ww utulie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom