Jamani mwenzenu Napendwa, ila

Jamani mwenzenu Napendwa, ila

yani kama ulikuwepo mwana imependezajeee we acha tu
VITZ inahuuuuu

newcar-vitz2005rear.jpg
 
Yani ktka koment niliyoipenda na kunigusa na kuniondolea stress zangu hakuna kama hii hapa "[Hakikisha pia unatafuta namna ya kumshinikiza kwenda kwenye nyumba za ibada maana huko atakutana na mafundisho ya adili yenye kumuelekeza kutenda mema".nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi na nitafanya kama ulivyonielekeza naitaji maombi yako pia QUOTE=HorsePower;6265459]Saa nyingine ukicheche ni tabia ya mtu na saa nyingine inaweza kuwa ni tamaa tu na saa nyingine kusababishwa na vitu fulani ktk ndoa. Ni ngumu kujua exactly nini hasa kimesababisha huyo wa kwako awe kicheche.

Ushauri ni kuendelea kumuombea kwa Mungu ili tabia hiyo ibadilike na kumuonyesha wazi kuwa unachukizwa na tabia zake hizo huku na wewe ukitimiza majukumu yako ya nyumbani kama mama na kama kawaida na kwa ufanisi mkubwa. Hakikisha unajua mumeo anapendelea nini na wewe kujielekeza kwenye hivyo apendavyo (kama siyo haramu) ili kumfanya asivimiss hivyo unavyovitafute huko nje akiamua kubaki hapo nyumbani. Hii inaweza kumsaidia. Hakikisha pia unatafuta namna ya kumshinikiza kwenda kwenye nyumba za ibada maana huko atakutana na mafundisho ya adili yenye kumuelekeza kutenda mema. Unaweza kutoka naye kwenye maeneo anayopenda kwenda kadiri inavyowezekana yumkini utabaini mengi yanayoweza kukusaidia kuijenga nyumba yako vyema.

Kila la kheri.

HP[/QUOTE]
 
aliyekwambia nina mahusiano mengi ni nani naomba tafadhali usiniharibie tena ndoa yangu wakati umeshaharibu au kakutuma unishupalie kooo kama karanga mwana tafadhali nisijekukaangaa bure mzimamzima sina uhusiano wowote na mtu humu mjengoni mm ni mke wamtu na naheshimu ndoa yangu koma mwana naona unanitafuta niongee na huwa sipendi kuongea na watoto wadogo mnaonyonya hasa wewe ntakutandika mikwaju ukija home ole wako ukatize mita ile nitakutwanga naona unanivunjia heshima

wewe!
niliwai kukwambia siku moja!kama uwezi utani unawatania watu ya nini!
U ARE SICK!daaaaamn SICK UPSTAIRS!
hili sitaomba samahani kwa yeyote!
 
asante sitaki maneno mie
wewe!
niliwai kukwambia siku moja!kama uwezi utani unawatania watu ya nini!
U ARE SICK!daaaaamn SICK UPSTAIRS!
hili sitaomba samahani kwa yeyote!
 
Hapa mbona kama sielewi elewi vile...

Nishajitoa kwenye SACCOS zenu mapemaaaaaaaaaaaaa, na maradhi haya nani awe SACCOS, kwanza nasikia wewe ladyfurahia una mahusiano meeengi. Kwanza Mentor aatakuwa wa kushindanisha?heri hata angekluwa Erickb52 sawa

aliyekwambia nina mahusiano mengi ni nani naomba tafadhali usiniharibie tena ndoa yangu wakati umeshaharibu au kakutuma unishupalie kooo kama karanga mwana tafadhali nisijekukaangaa bure mzimamzima sina uhusiano wowote na mtu humu mjengoni mm ni mke wamtu na naheshimu ndoa yangu koma mwana naona unanitafuta niongee na huwa sipendi kuongea na watoto wadogo mnaonyonya hasa wewe ntakutandika mikwaju ukija home ole wako ukatize mita ile nitakutwanga naona unanivunjia heshima
 
utaelewa tu we endelea kufuatilia nyuzi hizi ndo ujue watu wanatafuta wenzao ubaya na kutaka kuharibu ndoa za watu hawajui kuwa watu tumeshajipanga kisawasawa na watu tuko fiti na strong woman yeye atambui kuwa watu tuna huruma na tena tuna upendo vilelvile hajui kuwa watu tunastress aza mahusiano badala kutushauri sisi watu anatubomoa, hivi itakuingia akilini hili jambo wewe mtu mzima unabomoa ndoa za watu si umeona watu8 najua ushanielewa hapo zimetimia 8 hizo zenye bold
Hapa mbona kama sielewi elewi vile...
 
Last edited by a moderator:
hii ni kwa kaka yangu watu8, pokea hiivi: utaelewa tu we endelea kufuatilia nyuzi hizi ndo ujue watu wanatafuta wenzao ubaya na kutaka kuharibu ndoa za watu hawajui kuwa watu tumeshajipanga kisawasawa na watu tuko fiti na strong woman yeye atambui kuwa watu tuna huruma na tena tuna upendo vilelvile hajui kuwa watu tunastress aza mahusiano badala kutushauri watu anatubomoa, hivi itakuingia akilini hili jambo wewe mtu mzima unabomoa ndoa za watu si umeona watu8 najua ushanielewa hapo zimetimia 8 hizo zenye bold
 
Last edited by a moderator:
Unaposema tumelionaje hilo inamaanisha lipi! La kuwa serial cheater ama la kukununulia vitz?
Manake kwa serial cheater ili anifurahishe labda tuanzie kwenye fortuner kama sio kanissan patrol!
 
Mungu awasamehe maana hamjui mlitendalo acha niwaache mie sitaki kuongea bure nikamkosea Mungu wakngu jioni hii nishindwe kulala na laaziizi wangu barafu wa moyo wangu Mentor
sio mzima huyu!]
wala sitanii!NAMAANISHA!
 
Last edited by a moderator:
la kununuliwa vitz best
Unaposema tumelionaje hilo inamaanisha lipi! La kuwa serial cheater ama la kukununulia vitz?
Manake kwa serial cheater ili anifurahishe labda tuanzie kwenye fortuner kama sio kanissan patrol!
 
aliyekwambia nina mahusiano mengi ni nani naomba tafadhali usiniharibie tena ndoa yangu wakati umeshaharibu au kakutuma unishupalie kooo kama karanga mwana tafadhali nisijekukaangaa bure mzimamzima sina uhusiano wowote na mtu humu mjengoni mm ni mke wamtu na naheshimu ndoa yangu koma mwana naona unanitafuta niongee na huwa sipendi kuongea na watoto wadogo mnaonyonya hasa wewe ntakutandika mikwaju ukija home ole wako ukatize mita ile nitakutwanga naona unanivunjia heshima

all naomba mnitetee huyu mke wa Mentor ananitoa roho bila kosa, mimi saccos ya mentor nimejitoa bado tu ananifwata
 
Last edited by a moderator:
wewe!
niliwai kukwambia siku moja!kama uwezi utani unawatania watu ya nini!
U ARE SICK!daaaaamn SICK UPSTAIRS!
hili sitaomba samahani kwa yeyote!

Jamani hii si ni chit chat au ni kweli snowhite? kama sio utani nisiwe na comment mwaya....hata huyu Mentor mie namtania tu kwa uchit chat
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom