nimewapata kwelikweli yaani fikra zenu mnafikiri ndoa tu haaaaaaaaaaaaa kwaaaaa kwaaaaaaaaaaa ni chitchat tu hapa kwa kwenda mbele
Wewe ndio unafikiria ndoa tu, siku si nyingi ulikuwa unatafuta mwanaume! Hata sasa mpaka wajicHuria kuwa umeolewa na mtu kicheche mpaka umeshazoea kuwa cheated on!! na kwamba vits tu inatosha kurudisha thamani ya penzi lako kwa huyo kicheche wako!! Ukakana kwa nguvu zote eti sio chit chat mpaka malumbano ya kuanzisha ugomvi juu ya hilo!! You must be desperate loh!!
Kwa thread yako na responses zako zote nadhani angalau moja kati ya haya ni kweli;
i) uuu mdogo sana kimawazo na upeo kama sio na umri (upo form six kama sio chuo labda kama hata umeingia darasani)..! (highly immature),
ii) kuna uhaba wa hali ya juu ya wanaume wenye haiba nzuri kwenye maisha yako, either kati ya family and friends au wanaokutongozaga,
iii) kipato chako ni hongo-driven, yaani sio mtu wa kujishughulisha ujiingizie kipato rasmi kama sehemu kubwa ya kipato chako.
iv) unapenda majivuno sana, kwa wadada wenzio, na hasa attention yao wakuone upo juu na mwenye vizuri kuliko yeyote yule.
v) umezoea sana mazingira ya kugombea mabwana kama sio kuiba waume au mabwana za watu. Na pia mazingira ya uswahilini, kusutana, kurushiana vijembe, alimradi tu kuwe na hekaheka za maneno na majigambo.
iv) Huna ustaarabu wa maisha ya kutumia mitandao ya kijamii (si ajabu hata gadgets zinazotumika!! huna uzoefu nazo sana pia) kwa hiyo unafanya kufuja alimradi na wewe umetumia.
Ni mtazamo tu, kunaweza kuwa na sababu nyingine zaidi pia, lakini angalau moja ya hizo hapo kama sio zote, ni kweli juu ya huyu mtoa mada isiyoeleweka "substance over form".
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums