KingKipara
Member
- Aug 14, 2014
- 19
- 1
Habari wana janmvi
natumaini hatujambo, poleni kwa mnaojisikia vibaya na wale wenzangu ambao sikukuu imeawaacha vibaya!
Lakini wakati huo sisi tunapendeza, tunakula vizuri na kuenjoy huku mtaani wengine hawana hizo furaha kabisa!
Kuna Dada mmoja ambae amekuwa akinisumbua siku nyingi kuhusu kumtafutia Kazi japo Hata za ndani, nimejitahidi lakini nimechemka kabisa kutokana kwamba na mi nimeajiriwa afu Niko bize mno na uwezo wa kumwajiri sina ni binti wa makamo tu miaka 19.
anakaa kwa Dada yake wa hiari lakini ana manyanyaso makubwa kama mnavojua baadhi ya roho za raia wasio na huruma na wenzao
Hivo basi anaomba Kazi yoyote kwa anaeweza kumwajiri anadai Kazi yoyote atafanya mfano. Kazi za ndani, Duka, Usafi maofisini, hotel, ama Kazi nyingine yoyote kwa malipo halali yuko Dsm Tabata,
Mawasiliano ya kumpata: 0714138846
"NAOMBA KUWASILISHA HOJA"