Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
hilo nalo...
acha kutahamaki. au kweli ni rada yako unayoitumia?
hilo nalo...
ushamtafuna na kumdanganya utamtafutia kazi,wabongo tunavyojua kutumia matatizo ya wenzetu kujinufaisha
Kosa...!Mawasiliano ya kumpata: 0714138846
ushamtafuna na kumdanganya utamtafutia kazi,wabongo tunavyojua kutumia matatizo ya wenzetu kujinufaisha
aaaah aiss mbona unaniangushia jumba bovu...acha kutahamaki. au kweli ni rada yako unayoitumia?
bara gani tena uko wewe...Mie npo bara, anaweza kuja huku nikimhitaji?
No research no right to speak. Msiwe wepesi wa kuhukumu hivi ninyi binadamu mkoje lakini?? Au wewe ndo zako?