Jamani Mwanza Airport au Guest House mtaani?

Jamani Mwanza Airport au Guest House mtaani?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,899
Reaction score
15,126
View attachment 148138
Jamani si kwamba nawasakama Mwanza Airport management, lakini hii ndio hali halisi huko washroom.
Couldn't they do better?
Najua Dar Airport ni kizaazaa kingine!!
 
CHADEMA!
Na huko ndo anatoka Wenje!!

inamaana ilani ya cdm inatekelezwa kule? huu in udhaifu wa chamapinduzi kuanzia mwenyekiti wao mpaka nyie walambanyayo. choo kichafu ni utekepezaji wa ilani ya chama chako
 
CHADEMA!
Na huko ndo anatoka Wenje!!

inamaana ilani ya cdm inatekelezwa kule? huu ni udhaifu wa chamapinduzi kuanzia mwenyekiti wao mpaka nyie walambanyayo. choo kichafu ni utekelezaji wa ilani ya chama chako
 
inamaana ilani ya cdm inatekelezwa kule? huu in udhaifu wa chamapinduzi kuanzia mwenyekiti wao mpaka nyie walambanyayo. choo kichafu ni utekepezaji wa ilani ya chama chako
Kisomo cha watu wazima kwako ni muhimu mkuu!!
 
Public toilets in Tanzania is majangaaaa
 
Ndo airport ipi tena hiyo?

Kwako kuko hivi sasa ulitaka airport kuweje?


Choo_Chetu.jpg
 
Mbona unajichanganya? Ni jukumu la Serikali yako chini ya CCM

Ndugu zangu hatutaweza piga hatua ya mabadiliko kama hatutaacha tabia hii ya kila kitu kukihusisha na CHADEMA na CCM (siasa kwa kila kitu??). Ina maana hata kuhakikisha vyoo mfumo mzuri wa maji katika vyoo na usafi ni jukumu la JK au Mbowe (kama nchi siku moja Tz itakuwa chini ya CHADEMA)? Uongozi wa kiwanja ndio wanaohusika na mimi na wewe (abiria tunatumia viwanja hivi) tunahusika kwa kuhakikisha tunatumia vyoo hivi vizuri (kiache kisafi umalizapo huduma) na kama kuna kasoro kama hii ya maji kwenye diaba basi waone wahusika hapo hapo. Sidhani kama inasidia sana kutomweleza mhusika na ukaonesha hapa jukwaani.
Tubadilike

EJL
 
Back
Top Bottom