Jamani Mwanza Airport au Guest House mtaani?

Tunashukuru kwa kututaarifu kuwa umefika mwanza kwa ndege. Hivyo vyoo ni gia tu!

Mkuu nimetembea sehemu hizo miaka ya Fokker Friendshi(F27) na Boeing za ATC(kwa wanaokumbuka zikijulikana kama Sangara Express) pengine hata kabla hujazaliwa!
 
sijakufahamu mletaji wa mada hii, vyoo haviko katika hali mbaya labda utufafanulie zaidi,
 
Ndugu zangu hatutaweza piga hatua ya mabadiliko kama hatutaacha tabia hii ya kila kitu kukihusisha na CHADEMA na CCM (siasa kwa kila kitu??). Ina maana hata kuhakikisha vyoo mfumo mzuri wa maji katika vyoo na usafi ni jukumu la JK au Mbowe (kama nchi siku moja Tz itakuwa chini ya CHADEMA)? Uongozi wa kiwanja ndio wanaohusika na mimi na wewe (abiria tunatumia viwanja hivi) tunahusika kwa kuhakikisha tunatumia vyoo hivi vizuri (kiache kisafi umalizapo huduma) na kama kuna kasoro kama hii ya maji kwenye diaba basi waone wahusika hapo hapo. Sidhani kama inasidia sana kutomweleza mhusika na ukaonesha hapa jukwaani.
Tubadilike

EJL

Kweli umenena yaani tz balaa sijui ni ulimbukeni au ndio umekuwa msemo kama wa mtu kufa kalogwa!! Halafu isitoshe hicho ni kisafi compare to others au kwa kuwa cleaner kaacha ndoo hapo kama bado hajamaliza je
 
Inabidi uwe mtu wa viwango vya chini sana kutetea uozo huu.
Ni watu kama ninyi mkifika nje mnashangaa shangaa ilhali kwa kufikiri kidogo tu hali kama ya kwenye picha inaweza kutatuliwa bila shida.

Hiyo squatting toilet ni kwa ajili ya wakulima na utajiuliza ni wakulima wangapi wanatumia usafiri wa ndege.
Hilo beseni la maji ni kiellelezo cha meneja wa uwanja asiyetumia akili.
Tanzania ya leo huwezi kosa simtank hata vijijini , na hata reserve tanks za maji ni katika uwezo wake kiakili na kiutendaji.

Huyo meneja vile vile hana viwango.
 
Mbona una jazba sana bro, halafu dhana mbaya nimetembea sana nje don't judge a book by its cover. Hapa ni tz na kufika malengo ni binadamu wenyewe,
 
Si jazba mkuu, inabidi wakati mwingine laissez faire ishambuliwe kwa nguvu zote.
 
Inabidi uwe mtu wa viwango vya chini sana kutetea uozo huu.
Ni watu kama ninyi mkifika nje mnashangaa shangaa ilhali kwa kufikiri kidogo tu hali kama ya kwenye picha inaweza kutatuliwa bila shida.

Hiyo squatting toilet ni kwa ajili ya wakulima na utajiuliza ni wakulima wangapi wanatumia usafiri wa ndege.
Hilo beseni la maji ni kiellelezo cha meneja wa uwanja asiyetumia akili.
Tanzania ya leo huwezi kosa simtank hata vijijini , na hata reserve tanks za maji ni katika uwezo wake kiakili na kiutendaji.

Huyo meneja vile vile hana viwango.

Nilijua ni mtu wa maana kumbe hovyo takataka, haiwezekani ukawadharau wakulima kiasi hiki wakati ndo wanaokufanya uende huko chooni.
Unalalamika kuboreshewa mazingira ya choo badala ya kupgania mazingira ya mkulima yaboreshwe na kuthaminiwa.
Wenzetu Zimbabwe wanaishi vizuri kwajili ya kilomo nyie wabongo mnakiponda.
 
Inaelekea unless una mtindio wa ubongo, huwezi kujia argument iliyopo.
Nimeeleza hapo juu kwamba kama meneja wako wa kiwanja cha Mwanza ana choo kwa ajili ya wakulima, na wewe una akili kama ya mkulima, hilo si tusi, ni kiwango chako cha upeo.
Wanaoutumia huo uwanja ni wananchi wa viwango vya juu zaidi kuliko wanaotumia squatting slab toilets, na hilo vile vile si tusi, ni viwango, elewa narudia , viwango.
 
Acha kiburi ndugu yangu.
Kila mtu anastahili huduma bora bila kujali kama ni mkulima,mfanyabishara,msomi,mwanasiasa etc.
 
Watu wa aina yako na mawazo yako, na hata viwango vyako, wako wengi sana serikalini-cannot think outside the box!

Na ndio maana bajaji, bodaboda mikokoteni na hata dala dala mbovu hazitoki mijini.
Badala ya kushughulikia viwango mawazo yako kwenye primitive subsistence.

Halafu tunataka kufanana na maendeleo!
 
Back
Top Bottom