TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,267
- 25,557
Inauzwa wapi na sh. Ngapi?Hii kitu inatumika kusafisha maji kuondoa takataka zilizomo na kuyafanya yaweze kunyweka bila wadudu au chemical zozote, wao wanaiita SUNBEAM:_ WATER MINERAL POT.
Iyo kitu kizungu huitwa water filter kaz yake kuchuja maji, ukiifungua ndani utakuta mawe madogomasogo ya mtoni dizain ya mchanga na ngazi ya pili n makubwa kidogo dizain ya kokoto na ya mwisho ni bonge la udongo kama wa chokaa, mengine huwa na ngazi had I nne zikitofautishwa na saizi ya mawe, kiutalaam kila baada ya mda was miez 3 unatakiwa kuisadisha.