Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Ni kutofautina vipaumbele tu
Wengine ss majukum muhim ni kunywa bia mkuu, kila mtu ana majukumu muhimu tofauti na ya mwingine, karibu tuyapige maji mkuuPambana inawezekana wengine wakipata inaishia baa wengine majuku muhimu
Mkuu benki zinatoa mikopo, au huna habari?Na vitimoto na nini kuanzia jumatatu jamani mpaka jumapili mnapata wap ela jamani....mbona michakato tunafanya sawa wenzetu mnatoa wapi ela nyingi.
Tupeane hiyo michongo
HakikaaWengine ss majukum muhim ni kunywa bia mkuu, kila mtu ana majukumu muhimu tofauti na ya mwingine, karibu tuyapige maji mkuu