Jamani mnaokunywa kila siku ela mnaipata wapi

Jamani mnaokunywa kila siku ela mnaipata wapi

Na vitimoto na nini kuanzia jumatatu jamani mpaka jumapili mnapata wap ela jamani....mbona michakato tunafanya sawa wenzetu mnatoa wapi ela nyingi.
Tupeane hiyo michongo

Hivi huyo dada wa kwenye avart yako yupo kweli? Namaanisha anaishi?
Aisee kwakweli ni mrembo
 
Walevi hatutupani, tunapeana kampani so hutajua nani yuko vzr na nani hana kitu.
Na vitimoto na nini kuanzia jumatatu jamani mpaka jumapili mnapata wap ela jamani....mbona michakato tunafanya sawa wenzetu mnatoa wapi ela nyingi.
Tupeane hiyo michongo
 
ngoja niwaulize hawa walipa bill hapa hela wanatoa wapi maana na mimi nashangaa wenzetu wana hela kila siku.
 
Mipango tu!
IMG-20180923-WA0043.jpeg
 
Kinachowatofautisha ni matumizi tu...ww unatafuta na kutumia kusaidia ndugu, jamaa, familia na mahitaji binafsi...ela haitatosha na hauna wa kukupiga tafu....mwingine anachopata budget kubwa ni bia na kitimoto alafu wanywaji wanapigana tafu saana....
 
Na vitimoto na nini kuanzia jumatatu jamani mpaka jumapili mnapata wap ela jamani....mbona michakato tunafanya sawa wenzetu mnatoa wapi ela nyingi.
Tupeane hiyo michongo
Hahahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuna miti ya mipesa majumbani mwetu
 
Back
Top Bottom