jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,451
- 25,647
However sikufahamu before kama na wewe ni mtoto wa kike.hahhaha, hujui hijab wala ushingi, ushazoea kuona usumba na pamba kichwani.
However sikufahamu before kama na wewe ni mtoto wa kike.hahhaha, hujui hijab wala ushingi, ushazoea kuona usumba na pamba kichwani.
Mkuu, hii ni afadhali, iliyopita ilikuwa ni ya suicide bomber mtoto anayeonekana maybe 5yrs old or so akiwa amefungiwa yale mabomu ya kujitolea muhanga, sasa mtoto hata asiyejuwa whats righ and whats wrong wanamvisha mabomu, sasa mimi naamini siyo mtoto aliyejilipuwa, bali amelipuliwa!
Pia ni alikuwa mtoto wa kisomali.
Kuna watu hatari sana humu ndani mkuu.
tatizo liko wapi?