Account yangu ya Telegram imedukuliwa

Account yangu ya Telegram imedukuliwa

650

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2024
Posts
298
Reaction score
403
1001086052.png

Yaani nimeshangaa tu naingia inaniambia ni log in

Asa nikasema sio kesi nikarequest verification code itumwe kwenye email nashaanga hazifiki

Dah nakuja kuangalia Email sio yangu ambayo inatumiwa code


Hii imetokea baada ya kujiunga telegram kwenye PC yangu
 
Pole mkuu, hadi nakuonea huruma ulivyotokwa na macho (kwenye avatar) mithili ya Zongobinyo.
 
Back
Top Bottom