Jamani mimi mapenzi tena basi!

Jamani mimi mapenzi tena basi!

Kwa karne hii bro kama unataka wako peke yako labda ukate mgomba.
 
Tena anakusaliti na jirani yako dah! Kwanza mwanamke usikurupuke kumzoesha pesa, si ana hela yake kama hana mchunguze kama ni wife material ask her about her plans ana malengo gani then hapo u can help sikiliza sana aina ya story anazokupa.Sometimes nyie wanaume mnawapa sababu wanawake kuwasiliti.ulishawahi kumuuliza, " bby kitu gan hupendi kwangu au tabia ili nijirekebishe however small it is " be open and she will be open..usimpe sababu ya yeye kukusaliti..eti kisa una pesa, sjui six packs sijui big dick my dear anaweza kukusaliti for a dude anayejua kutumia ulimi wake ipasavyo hicho tu..Kingne dont brag about your wealth to women mchunguze anafaa je kuhuc mali zake au mambo yake kuna vitu sensitive anakuambia? Kwanza fanyia kaz hayo mambo na pia tatzo mnapenda waremboooo sana most of them ni runs girls, tafta mwanamke mwenye tabia njema mchunguze mjue tabia zake vizur and then change her into the queen u want her to be...no body is ugly my brother...by the way sisi wanawake tunajua saanaaa kupretend so pia omba sana Mungu akupe hekima
 
Njoo pm nikupe ushauri pole sana mwaya Ila uache kuhonga sana labda wanakupendea hela
 
Pole Mkuu. Miaka 27 usijutie maana mwanaume hajutii kihivyo brother.

Wanawake wanahitaji mambo zaidi ya Pesa zako. Jitathmini sana yawezekana kuna vitu unakosea japokuwa una Pesa na kazi nzuri.
Wanawake hawatafutwi kwa kutangaza Mali na kipato chako.
Hapo utampata yule anayetolea macho Pesa zako.
Mwanamke mzuri ni yule atakayekupenda bila Kujua una miradi gani wala unaingiza ngapi kwa mwezi, anachotakiwa Kujua ni kuwa unakazi yako.
Mfano kama ulivyojielezea hapo juu, unadhani wapenda Pesa siwatakuja direct?!! Japo si wote wapenda Pesa.
So sorry kama nimemkwaza mtu.
 
Asante sana kwa busara zako, nimepata kitu kimoja kwenye ushauri wako, ki ukweli mimi sijawai kua mcheshi na sina kipaji cha ucheshi kwa wanawake zangu uenda hilo ndo tatizo.
Mkuu wanamke yuko kama mtoto bila ucheahi na matani kidogo ni ishu sana kukanae.
 
Pole mkuu but I think u don't knw wats love.love s not wealth,money ,good machine nor Education.but Wats in ur heart .
 
Sifa zote hizo ulizonazo bado majanga,hebu jichunguze vizuri huenda kuna kitu hakipo sawa.
 
Kwa maelezo yako inaonekana unafanya jitihada binafs kuhakikisha unamridhisha kwa kila kitu hata kumdekeza au kumnyenyekea hata ktk ishu inayihitaj ukali na hapo ndipo unapokosea na anakuona bwege so sometimes raise urself up na umkaripie kama mtot mdogo ndvyo wanavyopenda lkn isiwe too much
 
Fantastic! For 95% you have problems but you use your money as a weapon so that they should love you. In reality ALL people including women loves CASH.

When a man is not attractive and had poor performance in bed BUT HE HAS CASH ...every woman will call him all sweet names like.....beibi, sweetheart, and all names that you know.....but WHAT THEY WANT IS YOUR CASH and don't expect true love from them.

However, there are some womens who don't want cash but what they need is true love....these kind of women for you forget them...according to my analysis you're not a good husband that many women aspire to get.....utaishia kuwaona tu mitaani na utaishia kupata vicheche wa kukulia hela zako tu. Kifupi una jeuri ya pesa na mapenzi hujui japo unajidai kujisifia lakini ni buree kabisaa.
 
Habari za mwezi mtukufu wa ramadani!

Mimi ni mgeni humu jamii forums lakini nahisi nyinyi ni watu wenye upendo na ushauri mzuri basi naombeni ushauri wenu.

Sijui nina kasoro gani maana kila ninapopenda natendwa, sijui ni kwanini kwa sababu ninadhani ninavyo almost vitu vyote ambavyo mabinti au wanawake hupenda kwa mwanaume, lakini nashangaa kila mwanamke nimpendae mwisho wa siku huishia kunitenda, kama sio kuniacha basi atanisaliti.

Ngoja kwanza nitoe wasifu wangu, mimi ni kijana wa makamo nina miaka 27 kwa sasa, nina kazi nzuri inayonilipa vizuri mbali na hapo nina biashara zangu binafsi za nyumba na viwanja (real estates) zinazoniingizia si chini ya laki 5 kwa siku namshukuru mungu pesa ya kubadili mboga na mafuta ya gari haisumbui. Pia nimebahatika kupata nafasi ya kuhudhuria gym kila siku tano za wiki hivyo mwili wangu unaonekana vyema na pia sura yangu si nzuri wala si mbaya nadhani nipo kwenye kundi la watu wa kawaida ki mtazamo wa sura. Ukija katika upande wa uanaume ki ukweli namshukuru mungu kanijalia mtarimbo wa maana na show napiga ya uhakika siyo kwamba najisifia ila huo ndo ukweli halisi, kiufupi bao la kwanza hua hata sipumziki naunganisha, (hapo kama nimeenda kavu na binti ninae muamini kiafya).Na kila binti niliyewai kushiriki nae tendo la ndoa hudhihirisha dhahiri ufundi wangu katika shughuli hiyo.

Lakini cha ajabu nimekua mtu wa nuksi kila binti ninaeamua kua nae katika uhusiano mwisho wa siku huishia kuniacha au kunisaliti (Kunicheat) najiuliza why? coz ninampa kila anachohitaji kuanzia mapenzi mpaka basic needs n.k.

kilichofanya niandike waraka huu ni binti niliyempata mwaka jana mwezi november ambae alikua tofauti na wengi walionisaliti, yeye alionekana innocent sana kuanzia sura mpaka matendo basi nikasema asante mungu baada ya kusalitiwa na wanawake kama kumi hatimae umenipa binti wa ndoto zangu. Yani akaichukua akili yangu akanifanya nimuamini kupita maelezo, na wiki mbili zilizopita nimetoka kumtolea mahari baada ya kupata ujauzito.

Lakini navyoandika huu ujumbe kwa sasa ni hivi binti huyo nimemfumania live akiwa na tauro tu na njemba jingine kwenye nyumba jirani hapa mtaani kwetu kwa msaada wa wasamaria wema, ki ukweli niliishiwa nguvu na mpaka sasa navoandika sijui nifanye nini maana hata wazazi wa pande zote mbili zijawaeleza kilichotokea na binti analia mda wote anaomba nimsamahe lakini moyo wangu umekua mgumu kumsamehe roho inaniuma sana na nimeanza kupata mashaka uenda mimba siyo yangu.

Sasa hapa nilipo nimechanganykiwa nimenunua mapombe makali ndiyo nakunywa 24 hours sijui nifanye nini naumia sana na binti huyu ki ukweli nampenda sana, ndipo nilipomshirikisha rafiki yangu mmoja ndo akanielekeza nije huku jamii forums uenda nikapata njia.

Jamani naombeni ushauri wenu coz nahisi kufa kufa hivi..!
Kwa uwandishi wako nishagundua tatizo lako, na nishagundua kwa nn unakimbiwa be a man not boy
 
Unafikiri kuunganisha bao ndo kumridhisha kimapenzi, inawezekana una tatizo hapo, hizo basic needs unazosema yawezekana hutimizi pengine, jichunguze mkaka
 
Mapenzi sio kuwa na bonge la mtarimbo! Kiufupi huyo mwanamke hakutaki " kwaupande mwingine lazima utakuwa n mapungufu Fulani japo wewe unajiona upo kamili " achana na huyo dada Si chaguo lako.
 
Daaah,.kwann hukukutana na mm????mbona ungehic unatembea paradiso...eti?hutakiwi kuumia kwa mambo yanayosovika mkuu,.tupo tunaojielewa hao wengine wapigaji tuu....

Pole sana kwa kutendwa.
 
Back
Top Bottom