Jamani mimi mapenzi tena basi!

Jamani mimi mapenzi tena basi!

mhmmmmmh sasa usipompa anachotaka si ndo unampa sababu ya kucheat
Ukimpa kila anachotaka ndo umempa sababu ya kucheat manake mwanamke hawezi kulala na baba ake mzazi na km ikitokea kalala nae basi hawez kua na hisia nae..wewe unae mpa mwanamke kila anachotaka umekua baba ake...hawez kuwa na hisia na ww za kimapenzi...ni idea ya kipuuzi sana ila very very powerful...kamwe usimpe mwanamke kila kitu tena km hujaoa ndo kabisa usithibutu...hutakaa hupendwe ww zaid ya kudharaulika...tutapendwa sisi tunaotoa tukiamua kutoa na sio kila kitu...na km unapangiwaga ratiba kila trh fln lzm utume hela vunja ratiba...you have everything lkn bado insecure duu we jamaa sifuri kbs
 
Unampa muda? Au kila saa ndo kujifanya busy busy busy...unaweza kumpa kila kitu but if you dont give her a little of your time utaendelea kulalamika
 
Nakiri ndani ya masaa 24 mda umekua ocupied na mambo mengi sana but nafasi ya kupata mda na mpenzi wangu hua naizingatia sana, thou mambo ni mengi ndungu yangu
 
umetaja kuwa unainua vyuma kwa ajili ya kutanua viungo sio?..sasa weka vyuma kando kidogo ukamuinue huyo binti wa watu kwa kukukosea heshima..mpe kichapo heavy...cha kufa mtu hasa hadi akili zimkae sawa..kisha msamehe kwa vile huenda ni moyo wake ulimsaliti...(ila fanya haya at your own risk)
 
Daaaah we jamaa, mama angu mzazi alinihusia nisije inua mkono wangu kumpga mwanamke, and i respect that. thanks kwa ushauri but I CANT.
 
safi mkuu..ila ndio njia..wanawake huwaheshimu sana wanaume wanaojua kulainisha mambo yanapoenda upogo bila kuwahusisha wazazi kila wakati...unambana kisha unambembeleza kwa mapambaja na kumfuta machozi..tayari mtoto katakuwa kamelainika...
 
Acha zinaa mapema, kama ni christian come to church we will praise and worship together huku utapata mabinti wazuri na waliotayari kama na ww ni player basi na hao unaokuwa nao wanakuwa player. Blame no body.
 
Habari za mwezi mtukufu wa ramadani!

Mimi ni mgeni humu jamii forums lakini nahisi nyinyi ni watu wenye upendo na ushauri mzuri basi naombeni ushauri wenu.

Sijui nina kasoro gani maana kila ninapopenda natendwa, sijui ni kwanini kwa sababu ninadhani ninavyo almost vitu vyote ambavyo mabinti au wanawake hupenda kwa mwanaume, lakini nashangaa kila mwanamke nimpendae mwisho wa siku huishia kunitenda, kama sio kuniacha basi atanisaliti.

Ngoja kwanza nitoe wasifu wangu, mimi ni kijana wa makamo nina miaka 27 kwa sasa, nina kazi nzuri inayonilipa vizuri mbali na hapo nina biashara zangu binafsi za nyumba na viwanja (real estates) zinazoniingizia si chini ya laki 5 kwa siku namshukuru mungu pesa ya kubadili mboga na mafuta ya gari haisumbui. Pia nimebahatika kupata nafasi ya kuhudhuria gym kila siku tano za wiki hivyo mwili wangu unaonekana vyema na pia sura yangu si nzuri wala si mbaya nadhani nipo kwenye kundi la watu wa kawaida ki mtazamo wa sura. Ukija katika upande wa uanaume ki ukweli namshukuru mungu kanijalia mtarimbo wa maana na show napiga ya uhakika siyo kwamba najisifia ila huo ndo ukweli halisi, kiufupi bao la kwanza hua hata sipumziki naunganisha, (hapo kama nimeenda kavu na binti ninae muamini kiafya).Na kila binti niliyewai kushiriki nae tendo la ndoa hudhihirisha dhahiri ufundi wangu katika shughuli hiyo.

Lakini cha ajabu nimekua mtu wa nuksi kila binti ninaeamua kua nae katika uhusiano mwisho wa siku huishia kuniacha au kunisaliti (Kunicheat) najiuliza why? coz ninampa kila anachohitaji kuanzia mapenzi mpaka basic needs n.k.

kilichofanya niandike waraka huu ni binti niliyempata mwaka jana mwezi november ambae alikua tofauti na wengi walionisaliti, yeye alionekana innocent sana kuanzia sura mpaka matendo basi nikasema asante mungu baada ya kusalitiwa na wanawake kama kumi hatimae umenipa binti wa ndoto zangu. Yani akaichukua akili yangu akanifanya nimuamini kupita maelezo, na wiki mbili zilizopita nimetoka kumtolea mahari baada ya kupata ujauzito.

Lakini navyoandika huu ujumbe kwa sasa ni hivi binti huyo nimemfumania live akiwa na tauro tu na njemba jingine kwenye nyumba jirani hapa mtaani kwetu kwa msaada wa wasamaria wema, ki ukweli niliishiwa nguvu na mpaka sasa navoandika sijui nifanye nini maana hata wazazi wa pande zote mbili zijawaeleza kilichotokea na binti analia mda wote anaomba nimsamahe lakini moyo wangu umekua mgumu kumsamehe roho inaniuma sana na nimeanza kupata mashaka uenda mimba siyo yangu.

Sasa hapa nilipo nimechanganykiwa nimenunua mapombe makali ndiyo nakunywa 24 hours sijui nifanye nini naumia sana na binti huyu ki ukweli nampenda sana, ndipo nilipomshirikisha rafiki yangu mmoja ndo akanielekeza nije huku jamii forums uenda nikapata njia.

Jamani naombeni ushauri wenu coz nahisi kufa kufa hivi..!

Ukimuoa imekula kwako! Utakua umempa kibali mwenyewe cha kuendelea kumegwa na wengine.

Mpende mwanamke Ila usionyeshe kwamba bila yeye maisha hayawezi kwenda, maana hapo ndo wengi tunapokosea both wanaume na wanawake.

Kumpenda mtu hakumaanishi kwamba unatupa akili kiasi kwamba unapuuzia mengine ya msingi kwa mfano mtu anakosea unashindwa kumuambia ukweli au kumkosoa.

Lingine ni kwamba mahusiano ya aina yoyote yanahitaji hekima, heshima na kubebana. Unaweza ukawa unampa mtu matunzo Ila hauna heshima au kuna baadhi ya mambo hayako sawa.

Mapenzi is very complicated
 
Habari za mwezi mtukufu wa ramadani!

Mimi ni mgeni humu jamii forums lakini nahisi nyinyi ni watu wenye upendo na ushauri mzuri basi naombeni ushauri wenu.

Sijui nina kasoro gani maana kila ninapopenda natendwa, sijui ni kwanini kwa sababu ninadhani ninavyo almost vitu vyote ambavyo mabinti au wanawake hupenda kwa mwanaume, lakini nashangaa kila mwanamke nimpendae mwisho wa siku huishia kunitenda, kama sio kuniacha basi atanisaliti.

Ngoja kwanza nitoe wasifu wangu, mimi ni kijana wa makamo nina miaka 27 kwa sasa, nina kazi nzuri inayonilipa vizuri mbali na hapo nina biashara zangu binafsi za nyumba na viwanja (real estates) zinazoniingizia si chini ya laki 5 kwa siku namshukuru mungu pesa ya kubadili mboga na mafuta ya gari haisumbui. Pia nimebahatika kupata nafasi ya kuhudhuria gym kila siku tano za wiki hivyo mwili wangu unaonekana vyema na pia sura yangu si nzuri wala si mbaya nadhani nipo kwenye kundi la watu wa kawaida ki mtazamo wa sura. Ukija katika upande wa uanaume ki ukweli namshukuru mungu kanijalia mtarimbo wa maana na show napiga ya uhakika siyo kwamba najisifia ila huo ndo ukweli halisi, kiufupi bao la kwanza hua hata sipumziki naunganisha, (hapo kama nimeenda kavu na binti ninae muamini kiafya).Na kila binti niliyewai kushiriki nae tendo la ndoa hudhihirisha dhahiri ufundi wangu katika shughuli hiyo.

Lakini cha ajabu nimekua mtu wa nuksi kila binti ninaeamua kua nae katika uhusiano mwisho wa siku huishia kuniacha au kunisaliti (Kunicheat) najiuliza why? coz ninampa kila anachohitaji kuanzia mapenzi mpaka basic needs n.k.

kilichofanya niandike waraka huu ni binti niliyempata mwaka jana mwezi november ambae alikua tofauti na wengi walionisaliti, yeye alionekana innocent sana kuanzia sura mpaka matendo basi nikasema asante mungu baada ya kusalitiwa na wanawake kama kumi hatimae umenipa binti wa ndoto zangu. Yani akaichukua akili yangu akanifanya nimuamini kupita maelezo, na wiki mbili zilizopita nimetoka kumtolea mahari baada ya kupata ujauzito.

Lakini navyoandika huu ujumbe kwa sasa ni hivi binti huyo nimemfumania live akiwa na tauro tu na njemba jingine kwenye nyumba jirani hapa mtaani kwetu kwa msaada wa wasamaria wema, ki ukweli niliishiwa nguvu na mpaka sasa navoandika sijui nifanye nini maana hata wazazi wa pande zote mbili zijawaeleza kilichotokea na binti analia mda wote anaomba nimsamahe lakini moyo wangu umekua mgumu kumsamehe roho inaniuma sana na nimeanza kupata mashaka uenda mimba siyo yangu.

Sasa hapa nilipo nimechanganykiwa nimenunua mapombe makali ndiyo nakunywa 24 hours sijui nifanye nini naumia sana na binti huyu ki ukweli nampenda sana, ndipo nilipomshirikisha rafiki yangu mmoja ndo akanielekeza nije huku jamii forums uenda nikapata njia.

Jamani naombeni ushauri wenu coz nahisi kufa kufa hivi..!

Hapo ndipo utakapoamini kuwa Kiumbe cha Jinsi ya Ke hakitabiriki kuwa kinahitaji nini kwenye Mahusiano.. Pole na KubaliKuachilia kwa kuwa kama kweli sifa ulizojipamba bado wanakukimbia kweli wewe hupashi kuendelea kwenye mahusiano tena.

Pole
 
Nakiri ndani ya masaa 24 mda umekua ocupied na mambo mengi sana but nafasi ya kupata mda na mpenzi wangu hua naizingatia sana, thou mambo ni mengi ndungu yangu
Hapo sasaa! Inabdi upafanyie kazi.atleast mjulie hali try hata kwa siku umpigie simu even once au mtext and tell her how much u love her, atleast weekends mtoe out au hata mpeleke dinner somewhere nice.Mpe sikio lako, msifie lkn uwe mkweli, buy her gifts sisi wanawake tunapenda vitu vidgovidgo na unaweza kushangaa wanakusaliti kwa vitu vidgo vidgo.Nina rafiki yang alimuacha boyfriend wake kisa tu haongeagi hata kdgo anamuangaliaga tu then she left him cuz he was a boring boyfriend.yeye kazi yake ni kusema ndiyo au hapana na sijasema uwe muongeaji sana kuwa moderate
 
kama hamjafunga ndoa- malizia kila kitu hapo hapo. maaan ukishafunga ndoa halafu ukayapata mengine mlolongo wake mkubwa. kunywa quinene- muache ila usimpige wala kumtendea mabaya.
 
Kuhuc mimba kuna mkuu kasema subir azaliwe mtoto then pima DNA .
 
Yaani anakusaliti wakati ni mjamzito! Akiutua huo uzito sijui ndo itakuaje!!!
Mi nadhani badili dizaini ya wanawaje unaowapenda..
 
Tulia kaa na tafakari,,msaliti ni msaliti tu na hakupendi kwa sababu angelikua anakuoenda asingelikufanyia udanganyifu huo mabinti wa siku hizi hawaridhiki kwa namna yoyote ni kuomba Mungu tu atakapokutakia mtu sahihi wakati ukifika,,wala usikate tamaa endelea kupmbana kimaisha Mungu atakuletea tu mwanamke wa ndoto zako utamuoa,mtajenga familia na maisha ya furaha!yangu ni hayo mi pia ni muhanga kama wewe na ni takribani mwaka wa mmoja sipo kwenye mahusiano ila muda utaniambia pindi wakti utakapofika nitarudi tu kwenye game,,nazidi kuomba Mungu tu nipate mtu sahihi maishani!
 
Unakua insecure we jamaa wanawake hawapendi kabisa, mwanzon mtakaa poa lakin atachoka mwisho wake anakuacha.

Kuanzia leo acha kuwa hivi kwa mwanamke
- Acting Jealous
- Seeking Approval
- Being Controlling
- Being Clingy

Na akikuacha usumtumie mameseji meeengi wakati hakujibu kufanya hvyo utaonekana mhitaji sana. Acha japo nafsi inakulazimisha, mwache kwa mda baadae atageuka mwenyw.
 
Back
Top Bottom