Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
amesemaje hapo? sijaona maandishi mengine hatawatakuja tu PM umewaweza, 500kpd na hali ngumu hii
nasema hvi watakuja tu PM
amesemaje hapo? sijaona maandishi mengine hatawatakuja tu PM umewaweza, 500kpd na hali ngumu hii
nasema hvi watakuja tu PM
mhmmmmmh sasa usipompa anachotaka si ndo unampa sababu ya kucheat"Coz ninampa kila anachotaka kuanzia mapenzi mpaka BASIC NEEDS" hapo tu ndo ulipofail ukimpa mwanamke kila anachotaka maana ake you are not man enough kwahiyo lazima akutafutie mwenzako..no challenge no attraction no love...
Hahaaaaa duuh aya banaamesema anaingiza sh ngapi kwa siku? ni hapo tu nimeona
hebu njoo pm uniambie vizuriHahaaaaa duuh aya bana
wee ahahaha niache na mpenzi wangu
Sasa mkuu ujui kama zinaa ni deni kwamujibu wa maelezo yako umezini na wanawake wengi ambao ni Dada, Mama, Shangazi, Shemiji au watoto wa watu ivi unafikilia hao uliyokuwa ukiwazini ndugu zao walikuwa wanafurahia kitendo unachowafanyia sasa na wewe ameziniwa mchumba wako ambaye hauja muoa umekasirika na kufura mpaka uka amua uje JF kupata ushauri
Mm ninacho kushauri acha uzinifu sio sifa wangapi walikuwa wakifanya tabia hii ktk walio kutangulia leo hii wapo wapi?
Kwaiyo badilika acha uzinifu alafu utafute binti umpendaye ukamuoe
Ila fahamu ukijifanya mjanja kwa kugonga dada za watu kwa kupitia mlango wa kushoto basi na wewe utagongewa kwa kupitia mlango wa kulia!!!
yapmpenzi tena!?...
SASA NDIO IJULIKANE KUWA........ HAIJULIKANI WANAWAKE HUWA WANAHITAJI NINI?
HATA UWE NA MAGARI, MAJUMBA, HELA, GYM KILA SIKU, SHOW ZA KIBABE.
BADO ATAKUSALITI
Nashukuru, wewe hautanitenda eh?Njoo kwangu
Nikuambie vizuri kuhusu nini?hebu njoo pm uniambie vizuri
Nimekuelewa mkuuSasa mkuu ujui kama zinaa ni deni kwamujibu wa maelezo yako umezini na wanawake wengi ambao ni Dada, Mama, Shangazi, Shemiji au watoto wa watu ivi unafikilia hao uliyokuwa ukiwazini ndugu zao walikuwa wanafurahia kitendo unachowafanyia sasa na wewe ameziniwa mchumba wako ambaye hauja muoa umekasirika na kufura mpaka uka amua uje JF kupata ushauri
Mm ninacho kushauri acha uzinifu sio sifa wangapi walikuwa wakifanya tabia hii ktk walio kutangulia leo hii wapo wapi?
Kwaiyo badilika acha uzinifu alafu utafute binti umpendaye ukamuoe
Ila fahamu ukijifanya mjanja kwa kugonga dada za watu kwa kupitia mlango wa kushoto basi na wewe utagongewa kwa kupitia mlango wa kulia!!!
ulivotendwaNikuambie vizuri kuhusu nini?
Hahaaaaa haya bana nakujaulivotendwa