njoo unipende mm maan nishatendwa xn unakubali shida za MTU ziwe zk lkn bado unafaida kwke nachekwa kwaajili yk lkn bado tu nakaa kwa macmango lkn bd tu kiukweli mapenzHapo ndipo utakapoamini kuwa Kiumbe cha Jinsi ya Ke hakitabiriki kuwa kinahitaji nini kwenye Mahusiano.. Pole na KubaliKuachilia kwa kuwa kama kweli sifa ulizojipamba bado wanakukimbia kweli wewe hupashi kuendelea kwenye mahusiano tena.
Pole

Hata wewe unaruhusiwa kujitangaza acha gubuokay sasa malengo yako yatafanikiwa wadada watakuja-pm maana naona ulikua unajitangaza una pesa una body mtarimbo kaz kwako sasa
Mungu wangu .wanawake wengne hawana hata hofu jamani .Sasa mimba unaukakika yako, Demu wangu aliolewa na mimba yangu. Kwa hiyo wanawake wanajijua wenyewe