Ndg yangu pole sana tena sana kutoa Mali si hoja mm mali imeludishwa na ndoa ilitakiwa kufungwa tarehe 28/6/2017 niliumia sana ila ilifika wakati nikawa na maamuzi na pia nilijiuliza maswal haya
1..kwanini niumie je? ndiyo yy pekee hapa duniani?
2..kwanini hili swala limetokea mungu kaniepusha na nini?
3..nikijiuwa au nikiwamrevi wa kupindukia faida itakuwa kwa nani?
4..kwanini niendekeze mapenzi yanafaida gani kwangu na kwa nini nalazimisha vitu ambavyo mungu ajapanga kwann?
Baada ya kupata hayo majibu tokea siku hyo mpaka leo cjawahi kumfikilua kiumbe kinachoitwa mwanamke, sio kwamba nimewachukia hapana ila ikifika muda mungu atafungua njia
Cha kukushauri ww mwanaume cha kufanya angalia maisha yako hyo mimba icwe kigezo cha kukuwazisha eti mimba acha ajifunguwe itajulikana kuwa mwanaume na mwenye maamuzi mazito ya kiume.