umenishauri sana na nashukuru sana, ubarikiweTena anakusaliti na jirani yako dah! Kwanza mwanamke usikurupuke kumzoesha pesa, si ana hela yake kama hana mchunguze kama ni wife material ask her about her plans ana malengo gani then hapo u can help sikiliza sana aina ya story anazokupa.Sometimes nyie wanaume mnawapa sababu wanawake kuwasiliti.ulishawahi kumuuliza, " bby kitu gan hupendi kwangu au tabia ili nijirekebishe however small it is " be open and she will be open..usimpe sababu ya yeye kukusaliti..eti kisa una pesa, sjui six packs sijui big dick my dear anaweza kukusaliti for a dude anayejua kutumia ulimi wake ipasavyo hicho tu..Kingne dont brag about your wealth to women mchunguze anafaa je kuhuc mali zake au mambo yake kuna vitu sensitive anakuambia? Kwanza fanyia kaz hayo mambo na pia tatzo mnapenda waremboooo sana most of them ni runs girls, tafta mwanamke mwenye tabia njema mchunguze mjue tabia zake vizur and then change her into the queen u want her to be...no body is ugly my brother...by the way sisi wanawake tunajua saanaaa kupretend so pia omba sana Mungu akupe hekima
Hapo kaka umenigusa, kwenye sura na umbo mm ndio ugonjwa wanguunajua tatizo letu wanaume wengi linapokuja suala la kuwa na mpenzi /mwanamke huwa tunakimbilia kuangalia sura au umbile zuri ili tuheshimike mtaani.kimantiki hawa viumbe wa aina hii ni wasumbufu sana wakiringia uzuri wao.issue sio uwezo au kumtimizia wahitaji yote.hawa binadamu ni wadhaifu Mara nyingi kuhimili mikimikiki ya kutongozwa wameumbiwa huruma kama vile sisi wanaume tulivyo dhaifu kwao kimapenzi.hivyo basi tulia tafuta mwanamke kwa vigezo vya maadili,dini,na kujitambua.sio sura au figure, huyo piga chini mimba sio sababu kwani mwenyewe huna uhakika kama ni ya kwako.
Hahaaaa ndugu uenda kweli tatizo nyotaTatzo co wewe nyota ya kusalitiwa inakusumbua hata demu ye mwenyewe alikua hataki sema nyota yako imemlazmisha
Ndo ukubali tu kusalitiwa mana hamna namnaHahaaaa ndugu uenda kweli tatizo nyota
watakuja tu PM umewaweza, 500kpd na hali ngumu hii
nasema hvi watakuja tu PM



shukrani kwa ushauriAcha haraka/papara jiulize dhambi gani umefanya utubu MUNGU atasaidia wewe!
asante mkuuU will never get the right gal if u will not let go of the wrong one
Never give up ,wako wa maisha yupo na amini utampata kwa wakati uliopangwa.
Jamani kwa nn mama?miss you tooo uliolewa nini?