Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
- Thread starter
- #41
Mchukia Fisadi,
Sijui kama bado uko kigoma au umeshamaliza ziara yako. Kama bado uko kigoma tafadhali sana jaribu kutembelea na ujiji, kasulu na kibondo kama kasma itakuwa kikwazo twaweza kuwasiliana tuwezeshane angalau utujuze huko nako hali ikoje. Nategemea kutembelea Mkoa wa Lindi nitajaribu pia kupata mawili matatu ya huko na kuwajuza nako nadhani ni choka mbaya!!
Oh masikini nilishaondoka huko. Kwa sasa niko Tanzania. Kwa sababu ya shida ya umeme nisingeweza kukaa cafe na kutuma picha hizi maana gharama ingekuwa kubwa.
Ni rahisi tu. Kama ukiwanazo na unataka kuziweka, ni PM nitakufundisha jinsi ya kufanya. JF ni kisima cha kuelimishana ndugu yangu.Ningekuwa na ujanja wa kuweza kuweka picha kama wewe nafikiri ingekuwa raha sana...mpaka sasa siwezi weka picha kama...kuna maeneo natembelea ningeweza kuweka picha hapa tukawa tunafahamisha sehemu mbali mbali za nchi yetu..
Thanks Mchukia fisadi.
...Eehhhhhh!!!!!! hapo hapo mchukia fisadi ku- PM ndio nini mazee kuuliza kwani ni ujinga?Ni rahisi tu. Kama ukiwanazo na unataka kuziweka, ni PM nitakufundisha jinsi ya kufanya. JF ni kisima cha kuelimishana ndugu yangu.
...Eehhhhhh!!!!!! hapo hapo mchukia fisadi ku- PM ndio nini mazee kuuliza kwani ni ujinga?
ku- PM ndio nini mazee
...Teh!teh! tehhhhhhhh!!!! Haya bana nadhani huo mwaka hata hiyo shule uliyosoma itakuwa haijaanzishwa.....Kipanga bahati mbaya mi si mzee maana nimemaliza darasa la saba 2009 kwenye ile shule ya medium school kwa hiyo mimi ni........?