Jamani makamba anazeeka vibaya!!!!!

Jamani makamba anazeeka vibaya!!!!!

hakika ntakuwa sijawatendea haki wana ccm kama sijaeleza vituko vya huyu mzee wetu....
Jaman walioangalia taarifa ya habari wameamini kwamba huyu mzee wetu anazeeka vibaya kabisa....wakati wabunge wakiwa wametangaziwa kufiwa kwa mmoja wa mbunge mwenzao ...kukawa na vikao vya kumzungumzia marehemu ....mwandishi wa nipashe aipofika....kwa mzee wetu makamba alimwambia mzee wetu pole sana sana...kwa kufiwa na mzee wetu...mbunge wetu....jibu la kwanza mzee alianza kwa kusema kama mnavyojua nyie waandishi jino la dhahabu hubadilishwa kwa jino la dhahabu na jino la dhahabu ni ccm....ahsante sana najua watu wa .........watajitayarisha kumchagua mtu wa ccm....hakika mwenye busara zao walisikitika sana kwa majibu ya huyu mzee wetu...wengi walitaraji amejisikiaje kwa msiba mzito wa taifa na sio kujua nani atachaguliwa tena kwenye jimbo lake.......

Mzee makamba nahisi anaitaji mshauri jamani...msimwachie awe anaongea mwenyewe bila ruhusa ya mshauri wake...nawatakia pole wana ccm na ote walioguswa na msiba huu kwa namna moja ama nyingine

bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe
mbona makamba ni zuzuz magic wa ukweli..
Pole sana kwa kuchelewa kuling'amua hilo.
Tangu amepata post hiyo ya ukatibu mkuu chama kimekuwa vururu vururu.
Hakieleweki kabisa anachokifanya ndani ya chama.
Hana mission wala vision
 
People, GROW UP!,...... this's what we call POLITICS!
 
suwahi!!! alla!!! sisi tumefiwa wewe unareta muchezo haya na hilo jimbo ibeni kura? muone kutageuka kama Kenya pambavu ......Leteni mabadiliko ndani ya GOV
 
How unamchagua mtu bila kufanya research yako?

NDUGU ANGALIA RESEARCH NYINGINE ZA KINA

"""DK"" NCHIMBI

"""DK"" KAMALA
 
People, GROW UP!,...... this's what we call POLITICS!


Right on Kui.Politics ni uongo uliokomaa na bila uongo hakuna politics si unaona watuw ote waliokuwa kwenye politics ni wasanii tuu.i don't see a point ya watu kumalalamikia makamba wala kikwete mapaka hapo.

No research, no evidence, no right to speak.

Kama tuko katika court of law na judge anakuomba documentation kuhalalisha tuhuma zako, halafu unakuja na excuses kama hizi wakati umeshamchafulia mtu jina unaonekana mzushi tu.

Halafu unapigwa kesi ya defamation, watu wanavuna.

Research ipo na unajua nini naongelea kama nilivyokwambia ngoja niwasiliane na watuw enye access na hizo archives usiwe na haraka sana kaka.

najua unataka apply ile kitu inaitwa innocent until proven guilt.of course upo innocent now na hii nakupa kitu na box mjomba haraka haraka haina baraka vuta subira.All things are a re possible.
 
Hakika ntakuwa sijawatendea haki wana CCM kama sijaeleza vituko vya huyu mzee wetu....
jaman walioangalia taarifa ya habari wameamini kwamba huyu mzee wetu anazeeka vibaya kabisa....wakati wabunge wakiwa wametangaziwa kufiwa kwa mmoja wa mbunge mwenzao ...kukawa na vikao vya kumzungumzia marehemu ....mwandishi wa nipashe aipofika....kwa mzee wetu makamba alimwambia mzee wetu pole sana sana...kwa kufiwa na mzee wetu...mbunge wetu....jibu la kwanza mzee alianza kwa kusema kama mnavyojua nyie waandishi jino la dhahabu hubadilishwa kwa jino la dhahabu na jino la dhahabu ni CCM....ahsante sana najua watu wa .........watajitayarisha kumchagua mtu wa CCM....Hakika mwenye busara zao walisikitika sana kwa majibu ya huyu mzee wetu...wengi walitaraji amejisikiaje kwa msiba mzito wa taifa na sio kujua nani atachaguliwa tena kwenye jimbo lake.......

Mzee makamba nahisi anaitaji mshauri jamani...msimwachie awe anaongea mwenyewe bila ruhusa ya mshauri wake...nawatakia pole wana CCM na ote walioguswa na msiba huu kwa namna moja ama nyingine

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE

Na huyo ndiye aliyeteuliwa na Muungwana amsaidie kulivusha jahazi letu la ccm kuelekea kaanani (ipi?).

Mimi sina tatizo na Makamba, ila ninashaka na aliyemteua kwani anamuona anafaa sana (tehe)
 
Back
Top Bottom