kuongea ndiyo nn kwako wewe ? Kama kuchonga ni dili basi kibajaji angekuwa katibu mkuu wa un !!
nina mahaba na lowasa
Mkuu.huo utafiti ulifanywa na uvccm na sample size ilikuwa watu 15 na kundi lililochaguliwa kwa ajili ya mahojiano ni familia ya kikwete (watu 12), Nchimbi, Serukamba na Mwigulu. Ndo maana walipata 85%.
jitahidi ujue maana ya neno takatifu.
Ikulu siyo mahali pa takatifu maana hapajawekwa wakfu kwa ajili ya ibada ya mungu wa kweli.
Dili zote zilizoangamiza nchi yetu zimetengenezwa ikulu,sasa unataka uite ni mahali patakati
kwa kukaririshwa? Ungesema ikulu ni mahali pa heshima acheni kumtania mungu
Sifa mnazompa kutokea huku Dar zinawafanya wavutike kumsikiliza.Bahati mbaya wakifika mikutanoni kumsıkiliza anawaungusha.Wengne wanaenda kumwona mkuu wa Mafisadi jinsı alivyo.Alaikı kubwa ya Tabora haikuwa na hamasa licha ya wingı wao.
ahahahaaa hana nyota msijidanganye watu wanakwenda kuangalia mgonjwa afya yake ikoje
ahahahaaa hana nyota msijidanganye watu wanakwenda kuangalia mgonjwa afya yake ikoje
namsubiri uku bukoba(v) tarehe 18-09 nitatoroka kituoni pangu kupiga picha mwanzo mwisho!