Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
- Thread starter
-
- #61
Heh, kuna mtu kaiba pasiwedi ya Lizzy?
Leo na yeye kawa maharage ya Mbeya
Ta Kamugisha, katambikie ulikopita leo na hongera sana.
We hilo sio tatizo lako wala lao. . .nimeshapanga kila kitu.
@ J. . . .Hahaha hapana. Napokea wale wenye HERI tu na sio wenye SHARI.
Konnie ile heshima yetu hamna tena? Aiseeee!!!
Hahahahaaa watu tuna hamu na nyama chomaafu na wewe, ntakupiga ngumi ya pua hadi amyner akukatae.
Unacheka wakati unaona JG anataka kuniendea Sumbawanga.
Hahahahahaaaaa aisee hii njia ya kujitetea ni mpya sana Lol
Ngoja akija mwenyewe atasema tuone kama unatuingiza mjini...
Au kwa kuwa unakaa karibu na mkoa wa akina Bishanga ndo wameshakuambukiza zile tabia zao za tamtam?
Kwikwikwikwikwikwiiiiiiiiiiii
HahahahahaaaaKina nani hao kwanza? Umenipoteza.
Sio wewe acha kuogopa..so far uko poa ila tunawajua jamaa zetu toka Senene Land wana tabia moja unique na ya wote...Tabia zipi tena LIZZY usinishitue mwenzio!
Kongosho nafikiri hujawahi kurogwa eeh !
Ukirudia maneno sampuli hii shauri yako !
Ungekua He nakushusha shipa!
Bt kwa vile nna uhakika ni She nakushusha mtindi !
Na hutopata size ya Sidiria hadi siku ya kiyama! Utaishia za kushonesha !
Nilikuloga juzijuzi hapa ukawa Maziwa mtindi , umesahau ?
....ninachokuomba jihadhari na walimwengu(Mtei One na Bagah)...usione wanakuita shem shem ukawaeleza siri ya penzi letu...watafanya kila njia waone tumetengana....."
Hahahahahaaaa
Bishanga,Judgement na Ta Kamugisha pindi watakapokutana na kila mmoja anaamini ni yeye mmiliki...
Hahahahaaaa aise nimecheka sana JG
Hebu mdunde awe NYAMA CHOMA maana leo weekend nyamaa choma muhimu....
Hahahahaaa eti akawa Maziwa ya Mtindi Lol
Kongosho umekamatika hapa kwikwikwikwikwiiiiiiiiiii
Enhee. . .Maandalizi gani na gani unafanya.?
Teh yan unahangaika kumtumia nauli wakati wenzako wajanja washaweka kambi Unga LTD unadhani ataweza kuondoka?
Nenda kwenye uwanja wa mapigano itakula kwako then uje na barua kama ya Daz Nundaz
Huko huko ndo na Bishanga anakotokea....
Lol
Te te te umenichekesha sijawai ona! Kuna uchawi wa kushusha MTINDI? wa mkoa gani tena?
Sio wewe acha kuogopa..so far uko poa ila tunawajua jamaa zetu toka Senene Land wana tabia moja unique na ya wote...
Lol hata uifiche vipi haiwezekani yan kama pembe la ng'ombe lazma lionekane...
Kwanza yule beberu wa urithi nakupatia, shamba la urithi nakupati, kale kajoo nako, yaani hata wale senene tuliowatunza kwa ajili ya watu muhimu watakuwa wako.
Babaaa tembea uone! Hiyo makitu inafanyika Pemba! Sio hii Pemba unayoijua ya Zenji no, ni Pemba ya Msumbiji .
Yaani kama vile unavyoliona busha linavyoumuka ndivyo Tindi linavyovimba!
Kwa vivutio hivi hachomoki ! Lazima utacheka na nyavu !
Huyo Jaji kaingiaje kwenye hiyo orodha?