masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,643
- 14,642
- Thread starter
-
- #21
Hebu jaribu kuelewa nimeandika nini.Sasa nimepindisha ukweli gani? Nimekwambia kiwanja chote kuanzia hapo NBC mpaka KKKT unashuka mpaka BILLY Lodge ilikuwa mali ya TBL yaani Tanzania Breweries.......unless humjui Kilewo ni nani.....Kanisa walipewa sehemu yao na KIMBISA akapewa sehemu yake na wengine wmjuao Lowassa nao wakapata ikiwemo KKKT
Hebu jaribu kuelewa nimeandika nini.
Klewo alitoa sehemu hiyo YOOTE KWA KANISA and not otherwise.
Katika kubadili matumizi ya ardhi na umilikaji ndipo Mheshimiwa akapata ulaji.
Kilewo HAKUMPA Kimbisa eneo hilo, bali alipewa na mheshimiwa, baada ya muheshimiwa KUJIGAWIA na kukigawa kiwanja hicho kwa dhamana ya cheo chake.
Hili lilileta mytafaruku mkubwa, na mheshimiwa HAJAWAHI kualikwa hapo Mbezi licha ya kuwa yeye vile vile ni KKKT.
Hata JK na Makamba walishawahi kualikwa hapo kwa harambee mbalimbali lakini SI Mheshimiwa wako.
Sasa nimepindisha ukweli gani? Nimekwambia kiwanja chote kuanzia hapo NBC mpaka KKKT unashuka mpaka BILLY Lodge ilikuwa mali ya TBL yaani Tanzania Breweries.......unless humjui Kilewo ni nani.....Kanisa walipewa sehemu yao na KIMBISA akapewa sehemu yake na wengine wmjuao Lowassa nao wakapata ikiwemo KKKT
Dada huyo aliyeweka hilo tangazo ni Laundry Cleaner ambaye alishaondoka sasa ni miaka ya kutosha tu. Alichemsha PATCO supermarket itakuwa yeye mfuaji nguo bhana. Hiyo ndiyo mitaa yetu ya kujidai tukiwa njiani kuelekea kwetu Kunduchi, dada karibu sana ipo Tankihawakai kivpi mbona naona ubao wa matangazo?
Hapo chini pia nakumbuka kulikuwa na Super Market kwenye miaka ya 2000 au 2001 kama sijakosea. Sijui ilikufaje!Nakumbuka palikuwa na gym hapa kwa ghorofani, umenifanya nifikirie mara mbili mbili maana kwa jinsi jengo lilivyo vizuri na linafikika kirahisi sio kawaida kuwa ktk hali hii!
Mkuu story ya hiyo sehemu naifahamu fika na si wa kuhadithiwa.Ndugu yangu mbona mgumu sana kuelewa............KKKT walipata wapi hiyo ardhi?.......waliipata kivipi?..........yaani huoni dots kabisa?.......Kilewo...........Lowassa.........KKKT.........Kimbisa.........na labda hujui kuwa hiyo nyumba next yenye ukuta wa Blue ni ya Marehemu Shirima aliyekuwa PS wa wizara?
Mshaurini mheshimiwa aombe radhi kwa wana Mbezi ili laana imwepuke!!
Jengo ni mali ya ALHAJI ADAM KIMBISA na waziri aliyekuwa na dhamana ya ardhi ni NDUGU EDWARD LOWASSA........Hiyo ardhi ilikuwa nali ya TBL kabla ya ubinafsishaji na ARNOLD KILEWO ndiye aliye lobby kanisa kupata kiwanja na si kinyume chake. Lowassa kama muumini wa KKKT nae akawapa kanisa. Kukosa biashara kwa jengo ni suala la msimamo wa mmiliki.
Mkuu inaelekea wewe stori ya hapo huijui kabisa, mwulize mwana KKKT Mbezi Beach, yeyote wa hapo ndo utaipata from the horses mouth!Wakati mwingine ni vizuri kuafikiana kutokuafikiana........sijui wana Mbezi wanahusikaje mpaka waombwe radhi!
Acha uwongo mfuaji nguo yupo mi nimefua last week Kama sikosei amebaki peke yake Kama jini Yule wa meno sinauhakika sana maana ukipanda juu unaona ofisi lakini pamefungwa mda woteDada huyo aliyeweka hilo tangazo ni Laundry Cleaner ambaye alishaondoka sasa ni miaka ya kutosha tu. Alichemsha PATCO supermarket itakuwa yeye mfuaji nguo bhana. Hiyo ndiyo mitaa yetu ya kujidai tukiwa njiani kuelekea kwetu Kunduchi, dada karibu sana ipo Tanki
ukitokea mwenge to Tegeta shuka kituoni cha T/ Bovu, lakini kwa wewe unayetumia usafiri wako kabla hujafika T/bovu mkono wako wa kulia.
Mijitu imekalia umbea sijui inafaidika na nini.
Dada karibu sana ipo Tanki
ukitokea mwenge to Tegeta shuka kituoni cha T/ Bovu, lakini kwa wewe unayetumia usafiri wako kabla hujafika T/bovu mkono wako wa kulia.
Kwa hiyo Lowasa aliwapa kanisa halafu akakichukua tena au??Jengo ni mali ya ALHAJI ADAM KIMBISA na waziri aliyekuwa na dhamana ya ardhi ni NDUGU EDWARD LOWASSA........Hiyo ardhi ilikuwa nali ya TBL kabla ya ubinafsishaji na ARNOLD KILEWO ndiye aliye lobby kanisa kupata kiwanja na si kinyume chake. Lowassa kama muumini wa KKKT nae akawapa kanisa. Kukosa biashara kwa jengo ni suala la msimamo wa mmiliki.
Kwa hiyo Lowasa aliwapa kanisa halafu akakichukua tena au??
Hilo jengo lina gundu ile mbaya. Kufeli kwa Imalaseko na PATCO ni mfano mzuri, hiyo si sehemu ya kukosa biashara especially wakati huo hiyo njia inapitwa na kila mtu wa mbezi