reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
jamani hiki chuo katika ajira hakifai. mwaka 2010 walitangaza nafasi kuna rafiki yangu alikuwa kamaliza chuo na aliomba akawa shortlisted na wakafanya interview.cha kushangaza hawakuitwa hata mmoja, jamaa kumuuliza lecturer mmoja jibu alilopewa ni kwamba wamecancel ile interview. hivi kweli jamani hawa watu hawajui km watu wanatumia gharama kuhudhuria hzo interview? pia kuna ule usaili wa mwaka jana nadhani tulifanya march nao pia hawakuita watu kazini. hv hao watu shida yao ni nini? hv hakuna sheria ya kuzishitaki taasisi uchwara km hizi?