Nini kifanyike Psrs Secretariati ya ajira?

Utawala2025

JF-Expert Member
Oct 20, 2023
329
1,059
Habari wasakatonge.

Jamani Hebu Tuje Tujadili kitu kipi kinaendelea katika ulimwengu wa Secretariat ya ajira (PSRS)

Hali ya kuita watu interview imekuwa kubwa kuliko kuita watu kazini.

Wakiita watu usaili wanaita wengi Tofauti na idadi ya nafasi mfano nafasi moja watu 1000.

Kumekuwa na katabia ka kuwaweka watu wengi kwa database na kushindwa kuwatumia.

Mchakato wa ajira hadi kuita watu kazini unatumia mwaka mmoja na zaidi.

Mawazo yangu kwa Secretariati.

1. Database au kazidata ikae miaka miwili.

2. Mtu akiwa kwa database apewe kazi.

3. Umri na mwaka wa kumaliza chuo wazingatie

4. Waache undugu nina ushahidi katika hili
 
Back
Top Bottom