Nakwambia ukweli dadaangu, kupiga magoti na kugalagala mwanaume hata km atakusamehe lkn hata kuamini tena au mwingine atakua anaishi na ww lkn hata kupa heshima km aliyokuwa anakupa mwanzo mf. My queen, one n only, nk maana dhamira itakuwa inamsuta cku zote, cc wanaume tumeumbwa vbaya sn. Hivyo jaribu kujikana mwenyewe, onyesha huna hadhi tena kwake, onyesha hakuna unachostahili kingine zaidi ya kuachika. Mpe mwanaume jukumu la kukuonea huruma kwa jinsi unavo jichukia na kujitoa uthaman mwenyewe, co useme naomba nihurumie! Chukua kilicho chako ondoka, akija kwenu akiuliza kwa nn umeamua kuondoka, mwambie najiona sistahili tena kuwa mkeo kwa upuuzi niliofanya. Mpe yeye kaz ya kukurudisha kichwani kwake na kuamini kuwa kweli uliteleza na katu huto rudia kwa jinsi tu anavokuona huna jinsi. Kulia huwa hatuon km ni suluhu kwa machoz ya mwanamke yapo karibu, af wengi ni waongo af wanakimbilia kulia au anajifanya ana pressure wkt ni kicheche. Hata akikuacha kwa mda bila kuja, lazna utapagawa lkn vumilia endelea kuomba mungu wako anza ibada hata jamii ikuone umebadilika. Usimpigie cm,uctume mimeseji utazid kumuudh tu na kukuona kahaba hasa akiimagine ndo unalamba dushe la jamaa, dah anapata hasira, unaishia kuambulia matusi. Mtume rafiki yake wa karibu, mwambie co tu unaogopa kumuona, bali hata kusikia sauti yake pia unaogopa. Mwambie amwambie unamkumbuka sana, na utajuta milele kwa kujidhalilisha. Mwambie licha usaliti nlioufanya lkn hakuna mwanaume km yeye ktk maisha uliyowahi ishi.
Nakwambia mkikutana wote mtalia sana saaaana, mkimaliza kulia ndo utakuwa mwazo wa msamaha, lkn ataendelea kutibu hilo jeraha taratibu kutokana na jinsi ulivojirekebisha. Uckimbilie ngono km ndo silaha, wanawake wengi wanafikiri ukimpa mwanaume papuchi inasaidia, mawazo ya kuchapiwa yanawapa taabu sana wanaume, after all papuch anaweza pata popote, alichokuwa anataka kwako ni upendo. Anaweza akakurudia hata mwaka mzima af akakuacha kwa usaliti ulioufanya mwaka jana.