Duh!kali ya mwaka hii.daudi1 ulihisia ukweli kua mtoto anaeza asiwe wa Mozie.mtoto mwarabuu.haya tusubiri kisa kinachofwata.maana bado kuna loose ends kibao.
Poa mkuu nimeshaona. Ha haaa,ila Stella katisha,me nilishahisi km mozie ana tatizo la uzazi ndo maana Paulina alikuwa akihangaika. Lkn mkuu Daudi1 ina maana mozie huu usiku aliolala kwa Paulina hakupiga mzigo kweli!? Maana Paulina alionekana toka mapema joto lipo juu!