Jamani, kwani lazima?

Hahahaaaa nilisema mimi mke mkubwa ni mkubwa tu ..... stella anakiherehere na yamemchwea vibaya hapa nimefurah haswaaaaaa Daudi1
Stella alikuwa anajishtukia kwani alikuwa anajua ana mwrabu tumbon
 
Aiseeeee jamani poleni sana mtandao wa tigo umenifanyia yote haya nimejiunga bando la mwezi sasa toka alhamis network inasumbua sana sijui kuna shida gani nisameheni bure tu

Ila kweli maana sis wenyew huku mpk upande mlimani aseee..... nyngn unatupia ln?
 
hivi kama mtoto angekuwa ni wa mbantu kama mimi ingekuwa ndio ishakula kwa Mozie?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…