pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,259
- 3,744
Hii ni jinsi gani mwanamke ni kumbe wa ajabu sana dunia,hutenda mabaya ila hayupo tayari kupokea malipo ya mabaya aliyofanya....Wamesahau alivyokuwa anahangaika kugawa papuchi kwa wanaume eti akidai anamsaidia mume ametembea mpaka na mdogo wa mume wake ila tu hapo mume hajajua hii muviiiiii wanawakewengi wanaona et Paulina anaonewa
Tofauti na alivyo anza alikua anasimulia kwa urefu!! Sijui alikua anataka antention yetu tu.
Hii ni jinsi gani mwanamke ni kumbe wa ajabu sana dunia,hutenda mabaya ila hayupo tayari kupokea malipo ya mabaya aliyofanya....
Hapa mwenye kosa ni Stella ametumia kosa alilolifanya mwanamke mwenzie lakini pia stress alizokuwa nazo Mozie kujifanya yeye ndo tulizo, ila kwa paulina hayo nod matokeo yake na hana budi kuyapokeaUsilipe baya kwa baya.hapa watu nahisi wanamtetea pau labda kwasababu wanajua kinachoendelea.sio kua alipenda kufanya vile,kulala nje.
Na mozie kumtenda hivo ni hasira na uchungu wa kusalitiwa ila sio kua Paulina deserves to suffer.
Paulina adhabu hii hana buni kuitumikia na hatakiwi kusawazisha kwa hasira na jazba au kuonyesha chuki kwa stella inatakiwa awe mpoleHii ni jinsi gani mwanamke ni kumbe wa ajabu sana dunia,hutenda mabaya ila hayupo tayari kupokea malipo ya mabaya aliyofanya....
Hahahahahah sasa si haijafika madam
Yy anafata kama mtunzi alivyotunga
kwani hiyo ni zawadi?si wjibu wangu kuweka hiyo epsode
Asante mkuu kwa kumuelewesha
Usilipe baya kwa baya.hapa watu nahisi wanamtetea pau labda kwasababu wanajua kinachoendelea.sio kua alipenda kufanya vile,kulala nje.
Na mozie kumtenda hivo ni hasira na uchungu wa kusalitiwa ila sio kua Paulina deserves to suffer.
Tena mose kawa mstaarabu sana,kwanza kafanya na beki tatu,pili kafanya na beki tatu ambaye paulina anamjua...wakat paulina yeye kafanya na watu tofauti tofaut ambao ni hatar kwake na afya ya mose pia...Paulina adhabu hii hana buni kuitumikia na hatakiwi kusawazisha kwa hasira na jazba au kuonyesha chuki kwa stella inatakiwa awe mpole
Tofauti na alivyo anza alikua anasimulia kwa urefu!! Sijui alikua anataka antention yetu tu.
iko ivo nakatukomesha kwel
Na inawezekana hata mimba si ya Mozie patamu hapo