mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,102
Simtetei kwa alichokifanya bali MTU akifanya kosa aadhibiwe sio kulipiziwa kisasi, hiv ingekuwa tunalipiza kisasi kila kila kosa ingekuwaje . Mf kila ukigegeda na Mimi nagegedwa hiv ungeridhika ? Kinachotakiwa kuyaongea kama imeshindoika bas
Adhabu kwa hapo inaweza kuwa nn kwa mfano? Ok, sawa ila nashukuru mungu me falsafa yangu ni moja, kuna ushahidi anakula kona, km bible inavosema. Km nmeombwa niwashauri wote wawili, km anaona Stella anafaa kuwa mke aoe mara moja, na Paulina ajaribu kumtafuta yule mpelelez aliyefiwa na mkewe.
Hii ndio story sasa! Acha zile ooh Mara nikaenda Iraq,Mara sjui somalia,Mara kumuokoa sijui balozi Wa marekani.Mara madam mery gaidi.Mara Mke Wa waziri Wa fedha Mara manka gaidi! Story nzima kufikirika tu.big up sana mkuu Daud 1 tupe mauhondo tuachane na visa visivyo na mkasa
Hahahaa hivi iliisha ile?
Na kingine ambacho kinanipa kucheka sana hapa katika hii story ni kuwa jamaa mose kampa paulina adhabu ile ile ambayo paulina alimfanyia...kafanya mapenzi kama paulina alivyofanya lengo nae nikutafuta mimba,pili kwa kuwa mose aliumia moyo na akili na paulina na yeye kaumia hivyo hivyo,zaidi ni kuwa paulina kaumia zaidi maana ndo maumivu ya nipige ngumi ya sikio na me nikupige ya jicho,ukiniuliza unaonaje na me nakuuliza unajisikiaje...hahahhahhahahhahah!
Ha ha ha ha yupi huyo
Ila ndoa yao ina maajabu kweli!!!? Yani wanandoa awawezi kupeana mimba lkn nje ya ndoa mke anaweza pata na mume anaweza kutoa!!!
Mtunzi nae kaingia mitini ...
Yule aliekutana nae kwenye daladala, alikiwa kavaa ngozi ya mtu mweusi et madai yake nipelelezi, huyu atakuwa alitonywa na mganga kuwa kuna dada nmempa mshariti haya.
Ila ndoa yao ina maajabu kweli!!!? Yani wanandoa awawezi kupeana mimba lkn nje ya ndoa mke anaweza pata na mume anaweza kutoa!!!
Mtunzi nae kaingia mitini ...
Ha ha ha ha ha uwiiiiii mbavu zangu jamani, duh una kumbukumbu kweli , halafu yule jamaa alimpenda kweli
Kwa hiyo unaona Paulina hakumdharirisha mumewe ila mume ndo kamdharirisha mkewe? kwani dada wa kazi si kama mwanamke mwingine yeyote? Unampenda mume kwa kuchepuka? kwani awali walivyopima nani alikutwa na tatizo la kushika mimba na mbona pamoja na tatzo hilo mume hakuhangaika kutafuta mtoto?Umeona eeh, lakin huyu bwana anatumia nakosa ya Paulina kama fimbo, ningekuwa mimi ningemwambia kweli Mume Wangu nimekukosea na kwa hili ulilolifanya umedhihirisha ni kias gani sifai so mchukue miss wako niachien hii nyumba, naamin ipo siku nitapata mshenzi mwenzangu ataniliwaza. Maana huyo mwanaume anashindwa kujua pau kafanya hivyo coz anampenda mumewe. DUUH! Nahis nimeandika maneno meengi coz hasira zimenipanda
Hahahahahahaaaaa umenichekesha kweli karibu kwenye visa vya mapenzi vyenye kutoa fundisho namna ya kuenenda katika mahusiano yetuHii ndio story sasa! Acha zile ooh Mara nikaenda Iraq,Mara sjui somalia,Mara kumuokoa sijui balozi Wa marekani.Mara madam mery gaidi.Mara Mke Wa waziri Wa fedha Mara manka gaidi! Story nzima kufikirika tu.big up sana mkuu Daud 1 tupe mauhondo tuachane na visa visivyo na mkasa
Na binadamu wengi wanatabia hii anataka akikufanyia vibaya wewe umfanyie vizuri maana hayuko tayari kupokea yale yale aliyokufanyiaHhahhahahahaha....yaan ukiona unapandwa na hasira kuhusu hii story jinsi paulina anavyofanyiwa basi ujue ni jinsi gani ulivyo mbinafs...unapenda kufanya ubaya nakumpa mtu maumivu ila haupo tayar kupokea malipo yake...me nafurahi sana hapa,ni mambo ya mtenda akitendwa huona kaonewa sana...