Jamani kwaherini!!!

Jamani kwaherini!!!

Ha ha haaa karibu sana kwenye ulimwengu maridhawa! Ila huku hakuna chura wala kenge!! Ukumbuke kubeba shuka tuu mana kuna barid sana!! Karibu mwayaaA
 
Nunua sukari kabla ya kufanya maamuzi hayo, tukija tutataka na chai coz barid haifai sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom