jamani kwa anayetaka maelezo namna ya kupata chanel zaidi ya 160 bure

kadiri umavyozidi kuchat zinashika chanel nyingi
leo setanta africa inaonesha,,dunai sports,dubai one,stv kungfu,guide,wale wa na zile 11 za awali zipo kama kawaida,,za dini zipo kama 30,,ikiwemo atn 1 and 2,
kuhusu kuscrach unaweza ukaset antena yako ya nje mfano wa hizo za startimes zinavypkuwa
na hao wanaosema ni uongo waache waseme wakati sisi tunakula uhondo.
ndugu unatumia antena ya kawaida au dish maana mie nimescan nimepata hizo channel unazosema ila zinazoonyesha ni zile 11 za awali .. au kuna namna nyingine msaada hapa..
 
Back
Top Bottom