amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,357
Jamani kupendwa raha kupendwa raha.
Penda unapopendwa wajinga wajinga tupa kule.
I only want to share with you ccrs.
Kwa wale mabroken heart umegawa kidude miahadi kibao jamaa hasomeki piga chini.
Kwa wale wanaume ambao videmu vicheche tupa kule we mwanaume bwana.
Na kama mwanamke kuna mtu anakuwinda usimkubali mapema easy come easy go mvute vute bana ili siku mkikamatana mambo yanoge
Mwisho wale wanoknok wote wanaokufatilia wape za uso.
Mwanamke kupendwa bana na sio kujipeleka.
Mwanaume mpenda offer kula kushoto.:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss:
btn mwanaume ambae hana hela kama Bishanga usimpe nafasi atakuletea vumba tu.
Have a nice weekend