Jamani kunani TBC1???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kunani TBC1????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Felixonfellix, May 29, 2011.

 1. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  WanaJF,
  Kwa wale ambao wamebahatika kuangalia taariza za habari kupitia TBC1 wanaweza kuniunga mkono,
  chombo hiki kiitwacho cha umma kinaonekana kupoteza mvuto na mashiko wa watanzania kwa sababu ule ufanisi ambao ulionekana miaka michache iliyopita umepotea kabisa. Hakuna kitu kimeniudhi kama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kujawa na kumradhi nyingi sana. Hivi jamani IT guys wa TBC nao wameondoka na Tido Mhando? Jamani ni fedheha kubwa kwa chombo hichi kikubwa kufanya madudu namna hii. Mtangazaji anaelekeza watazamaji kuhusu taarifa fulani halafu picha inaletwa kitu kingine kabisa. Mbaya zaidi ubora wa picha za leo zote ni sifuri kabisa. Kwa wale professional photographers kama kweli bado wapo TBC, ni fedheha kubwa sana kwao kwa kuwa hakuna hata picha ya maana imeonyeshwa leo. Zote zilikuwa hafifu na hazikuwa na viwango stahili vya kuonyeshwa hadharani.
  Najiuliza kuna mdudu gani hapo TBC1?
   
 2. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Muhasibu wao kachelewa kusign cheki hukuona masanja akilalamika kwenye komedi ya juzi.
   
 3. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nami pia nimeshangaa, kwanza watangazaji wa habari wamebadilika ghafla na quality ya habari imeshuka sana. Sijui na mafundi nao wamebadilika?, yaani leo ni hovyo kuliko.
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mshahara wa dhambi ni mauti kaka, TBC sasa inakufa kifo kibaya saaaaaaaaaaana
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kimeingiliwa na Magamba sasa wewe subiria TBC wakijivua gamba. Ni bora kuangalia Cartoon Network (CT) kuliko kuangalia TBC
   
 6. P

  Pokola JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  TBC1 wameathiriwa na CCM. Nani hajui kuwa Tido Mhando alikataliwa [na ******, Makamba & the Co.] kuextend mkataba afta kuwajeruhi ktk uchaguzi mkuu wa 2010 kwa kuruhusu kile kipindi cha MCHAKATO MAJIMBONI? Kama si kile kipindi majimbo ya Ubungo, Arusha Mjini etc si yangekuwa na kina Burian na Nghumbi kama wabunge?? Huzunika sana ewe Mtanzania!!! Omboleza kwa Ukondoo ulio nao!!
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  [FONT=&quot]...... remaining newsmen at TBC1 haven't shown the quality, craft, and intelligence to get more viewers behind this tax payers' run TV station.[/FONT]
   
Loading...