nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
Naombeni kujua kama kuna dawa ya kutibu jino bila kuling'oa. Kuna wakati nilinda kwa dentist akaniambia kuwa kuna jino linaota na hivyo linaugandamiza ufizi akaishia kunipa dawa za kutuliza maumivu. Now hali imejirudia yaani niko bored full kuumia.
Mods msihamishe hii post kwa sababu kwenye jukwaa la doctor respond yake ni ndogo sana halafu mimi naugulia maumivu
Mods msihamishe hii post kwa sababu kwenye jukwaa la doctor respond yake ni ndogo sana halafu mimi naugulia maumivu