Jamani JINO JINO linanitesa naombeni msaada wenu

Jamani JINO JINO linanitesa naombeni msaada wenu

Pole. kama una salio na uko dar nenda regency hosp utatibiwa.
 
Nitty !
Mie atlist i have enough experience abt teeth !
Mpaka hapa nilipo nishang'oa ma3! What's i know from those?
Nimejifunza hakuna dawa m'badala instead of to remove out! Utapata wengi watakupa za kutuliza tu! Bt do not qure!
 
nitonye pole sana, jaribu kumPM Mamndenyi kwani juzikati aliumwa na jina, tukampa ushauri and then akaenda kuling'oa na sasa yuko poa. BTW dawa ya jino linaloleta rabsha ni kulipa life BAN.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom